Nitajuaje kama mke wangu amenisaliti

Kama umesoma Sheria, philosophy au sociology ni rahisi mno kujua kama mkeo/mume kachapa/kachapwa nje au la...
 
Kwanini unataka kujua? Usipojua ndio salama yako ya kuanza kuugua prreshaa
 

akigoma je ..............
 
Mi nashauri ukaombe kazi ya umesenja ofisini kwao ! Ukishafanya kazi miaezi mitatu niPM unijibu maswali yangu !
 
trust your wife huo ulionao ni udhaifu hakuna awezae mgegeda mkeo zaidi yako...............
av confidence mind....
 
mmmh sasa wewe upo nae huku jamani unashinwa sisi tutajuaje
 
Hiii ni huzuniko la roho,unatia huruma sana,tulia.Mwanzo wa mwisho umekaribia ukianza ujasusi kwa mamaa mkuu!
 
Me narudia tena kusema hapa,kwa hali ilivyo hivi sasa hayupo mwanamke hayupo mwanamke asiyegongwa! Nimefanya majaribio zaidi ya 30 kati yao hakuna hata mmoja aliyekataa. Wanachoangalia akina Dada siku hizi ni je! Ww unayemtongoza una nini!? Wanaume lazima mjue,akina mama hawahitaji mwanaume wa kupiga nae picha.
 
Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea. So ukimuwazia hvyo watamgegeda kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…