All the time imekua damn hard kwa wanawake kutofautisha dhahabu feki na orijinal....anayempenda kweli na anayemtamani....maana dhahabu feki inashaini kupita ya ukweli......ndiyo ilivyo kwa anayetamani madoido mengi, mishemishe kibao kumpita anayekupenda kikweli...!<br><br>Ukiwa kama mwanamke, na ukaamua kumpa mzigo jamaa........next thing, you wait for him to look for you ......akipga kimya hadi wewe umtafute....unajisumbua...will give you more excuses.....anayekupenda atakushukuru kwa mzigo na atakuwa wa kwanza kukusumbua.....! Hii ni ishara kubwa sana......mioyo yao haipo mepesi kuukubali huu ukweli.