Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,439
USHAUR mzuri Sana utafkiri uko kwny ndoaPenzi jipya hilo braza..
Time heals, "Every thing will be okey and normal for you"
Muheshimu sanaa MKEO kwasababu vya huyo mchepuko soon utavizoea na kuviona kama upepo tuu na hapo ndio Utauona umuhimu wa mkeo kwa mara nyengine..!!!
#YNWA
Sure ni mfupi kiasi na mwili kiasi kama lulu wa magizoo afu nyuma kafungashaMimi sio mtabiri lkn nakuhakikishia huyo mdada sio kale kembambaaaa mana twembamba hatunaga maji zaidi ya mishimo mikuuubwa isiyo na mwisho, samahani lkn wembamba
Hujui raha ya dawasco weweSasa hiyo mimaji anayomwaga inakusaidia nini wewe hadi uchanganyikiwe hivo na kutaka kuacha familia mnayopendana? Wanaume nyie🙌
Chukua ushauri huu ndugu Yesu akupe kushindaYah man, cheating ina madhara makubwa sana mkuu, hasa mwanamke akishajua.
Mimi sikushauri uwe na makandokando kama mke wako ni mwaminifu, na anakuamini. Hiki ndiyo chanzo cha migogoro mingi ya ndoa.
Ubarikiwe na Bwana Yesu wa Nazareti.Kitu kinachomwangusha mwanaume kwenye maisha ni kukosa msimamo.
Ushamjua?Hapana mkuu😃
Ma single huwa tunaushauri mzuri wa ndoa..USHAUR mzuri Sana utafkiri uko kwny ndoa
Jamaa azingatie ushauri huu.Kitu kigumu kwa binadamu ni self-control, ukiweza kufanikisha hilo, utakuwa mfalme hapa duniani. Jitahidi kuwa na mpenzi mmoja. Ukishindwa jaribu kuwa msiri ingawa dunia haina siri, na siku zote mkiwa kwenye mapenzi mwenzako akichange utajua tu. Kwa hiyo mwanamke wako akitambua hilo, tegemea kupigiwa mke wako nje na wahuni.
Jamaa ameshakwambia Baki na mmoja tu, yaani mkeo.Hio ndo njia Sahihi na ya uhakika ya kumaliza tatizo lako.Ninachoogopa sana wife asije kujua.
Neno la busara sana hili Mzee.Penzi jipya hilo braza..
Time heals, "Every thing will be okey and normal for you"
Muheshimu sanaa MKEO kwasababu vya huyo mchepuko soon utavizoea na kuviona kama upepo tuu na hapo ndio Utauona umuhimu wa mkeo kwa mara nyengine..!!!
#YNWA
Katerero Ina raha yake.Sasa hiyo mimaji anayomwaga inakusaidia nini wewe hadi uchanganyikiwe hivo na kutaka kuacha familia mnayopendana? Wanaume nyie
Ma single huwa tunaushauri mzuri wa ndoa..
Ndio maana makocha wengii hawakuwahi kuchezea ligi yoyote kubwa zaidi ya za mchangani tu.
Sasa sisi huu uhusiano wetu wa mchangani unatosha kabisaa kutupa experience..!!!
#YNWA
Acha ufala we kamua tu.Members,
Mimi ni baba wa familia yenye watoto watatu. Mimi na mke wangu tunapendana na kuenjoy sex life as usual.
Ila nimeingia kwenye mtego wa penzi la mdada Mmoja. Yaani hilo penzi ni hatari. Huyu mdada anakojoa mara mbili mpaka tatu kabla ya mimi kukojoa mara Moja. Pia anamwaga maji mpka godoro linaloa. Yupo very romantic yaani tukianza Mimi napiga mpaka bao nne yeye zaidi ya bao nane. Kesho yake nipo hoi taabani ila kesho kutwa nataka tena. Sipendi kuiangamiza familia yangu nitafanya nn nijitoe wajuzi mnisaidie.
Islam is a solution.Members,

atajua.Ninachoogopa sana wife asije kujua.