Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,589
- 17,734
Unataka kuacha kwa dhati.
Mueleze mkeo.
Asante mkuuPenzi jipya hilo braza..
Time heals, "Every thing will be okey and normal for you"
Muheshimu sanaa MKEO kwasababu vya huyo mchepuko soon utavizoea na kuviona kama upepo tuu na hapo ndio Utauona umuhimu wa mkeo kwa mara nyengine..!!!
#YNWA
Acha kumdanganya mwenzio yatamchachia hatarialafu ni kweli
Mleta mada tunasubiri mrejesho
Yah man, cheating ina madhara makubwa sana mkuu, hasa mwanamke akishajua.Ninachoogopa sana wife asije kujua.
Watoto huwa wanarudisha roho nyumaWacha kuzingua. Nina watoto sitaki tafrani
Acha kabisa sana sana Binti zangu wawili wakiniona utasema wameona almasi.Watoto huwa wanarudisha roho nyuma
Kila ukiwakumbuka wanao wanavyokukimbilia wanacheka na wewe
Ukifika nyumbani wanakuzunguka miguuni wengine wanajipakatisha yaani full maupendo halafu unamuumiza mama yao!!!!!!!
Rudi nyumbani brother huyo mchepuko atasubiri kwanza
Kwahiyo tukusaidieje ili asijue?Ninachoogopa sana wife asije kujua.
Sio mimi tu hata mwanaume yeyote yule hawezi kumwambia mke wake hivyo, isipokua labda hampendi.
Acha kumdanganya mwenzio yatamchachia hatari
Hiyo ni sumu weka mbali na watoto
Umri si haba mwezi wa nane mwaka huu najaza 37
Mwambia asikojoe mara 4 na wewe acha kukojoa mara 4 hapo utakuwa umejinasuaMembers,
Mimi ni baba wa familia yenye watoto watatu. Mimi na mke wangu tunapendana na kuenjoy sex life as usual.
Ila nimeingia kwenye mtego wa penzi la mdada Mmoja. Yaani hilo penzi ni hatari. Huyu mdada anakojoa mara mbili mpaka tatu kabla ya mimi kukojoa mara Moja. Pia anamwaga maji mpka godoro linaloa. Yupo very romantic yaani tukianza Mimi napiga mpaka bao nne yeye zaidi ya bao nane. Kesho yake nipo hoi taabani ila kesho kutwa nataka tena. Sipendi kuiangamiza familia yangu nitafanya nn nijitoe wajuzi mnisaidie.