Nina mtoto wa kaka yangu amemaliza form four anataka asomee awe nurse wa hospitali. Naomben mnitajie list ya vyuo na mahala vilipo ndani au nje ya Dar es salaam
haaa..! Huyo hawez chukua diploma wala certificate coz sasa iv ili uchukue diploma ni lazima uwe na ufaulu wa kuanzia D, kwenye physics, Biology, Chemistry... Bila ivyo kujiunga na diploma ni ngumu labda kwa njia ya panya ktkt vyuo vya private, ila kuna pia kama umekosa physics waweza chukua certificate ili mladi uwe na qualification nzuri ktkk masomo hayo mawili yaan Chemistry na Biology.....

Naomba kuuliza mkuu hivi IMTU wanafundisha certificate in medical laboratory technology?
Nina mtoto wa kaka yangu amemaliza form four anataka asomee awe nurse wa hospitali. Naomben mnitajie list ya vyuo na mahala vilipo ndani au nje ya Dar es salaam
vipi kama ana chemistry B physics C biology D na math F anaweza kupata..?
nina mtoto wa kaka yangu amemaliza form four anataka asomee awe nurse wa hospitali. Naomben mnitajie list ya vyuo na mahala vilipo ndani au nje ya dar es salaam
st. raphael na kibamba siyo vyuo vya nursing ni pre-nursing viko chini ya red cross
[emoji2] [emoji15] [emoji2] [emoji15] [emoji2] [emoji15] [emoji2] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] akachunge mbuziANA DIV FOUR YA POINT 31. Ana D ya chemistry na D ya dini tu