una amnesia?Niliwahi kupita hapo mwaka jana,ngoja nikikumbuka nitarudi hapa baadae.
Sijakuelewa mkuuuna amnesia?
inakuwaje ndani ya mwaka usahau daraja kama hilo?Sijakuelewa mkuu
Mambo mengi mkuu.inakuwaje ndani ya mwaka usahau daraja kama hilo?
Ndani ya jiji la Rabat nchini Moroco,jina limenitoka.
