Nitaitambuaje betri feki na original? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitaitambuaje betri feki na original?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by GM7, Aug 23, 2010.

 1. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli mchina amejitahidi kuliteka soko la simu za mkononi. Karibu kila mtu ana simu ya kichina. Lakini tatizo la simu ni kuisha kwa betri zake mapema mno pengine siku mbili au hata siku moja kwa matumizi ya kawaida. Ila nasikia ukipata battery zake original angalau zinakaa muda mrefu kidogo.

  Je nitazitambuaje feki na original? Maana wakati fulani unauziwa betri feki ukidhani original. Naomba tusaidiane hapa.
  [​IMG]
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kwasasa best the difference kati ya genuine na feki is the same na ni ngumu kinoma kuigundua!
   
 3. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  labda ukiwa unanunua uhimize kuwa unataka feki mana ukisema unataka orijino wanakuuzia feko!!
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Nenda kwa authorized dealer wa Nokia/Samsung/etc utapata original.
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Issue yak ya kwanza ina utata. Matumizi ya kawada ni yapi kwako. Unaongea masaa mangapi? Simu yako ina bluetooth? Je iko on, Ukubwa wa screen ya simu yako ni size gani?inachukua muda gani screen kujizima ikiwa idle? Je umetune ringtone na sms alert kwenye vibration na sound? Kwa nn usijachague Sound tu au vibation tu? Kuna service nyingi kwenye simu zinachangia kula betri inategemea na aina ya simu.

  So Tuning ni muhimu pia Ili simu yako itumie energy efficiently .Usidhani hata ukipata hiyo unayohita orijinal itakuwa na tofauti na hizo unazoita feki. kama walicyosema wadau tofauti ni kama hakuna

  sasa kutambua betri tembelea site ya nokia eg Nokia Support Discussions - Battery - Check its an original! - Nokia Support Discussions. Unaweza ku google pia.
   
 6. C

  Chief JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2010
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nami huwa nafanya hivyo hata kwenye spares. Kwanza nasema mimi nataka feki tu, akileta feki sasa namwambia niletee orijino, nimebadilisha mawazo:smile-big:
   
 7. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Betri Original ni ile inayokuja pamoja na simu tokea upya wake; nyingine nje ya hapo ni feki japo zinatofautiana ubora wa u feki wake!!
   
 8. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Matumizi ya kawaida kabisa kama vile talking time isiyozidi dakika 15 kwa siku bila kupigapiga miziki ya kwenye simu na kusikiliza radio. Na pia kutuma SMS mbili tu kwa siku. Pamoja na matumizi kama haya kuna betri ambazo hata siku moja hazimalizi utakuta inakwambia battery low wakati asubuhi uliichaji ikawa fully charged. Wakati huo huo inatumia ringtone ya kawaida kabisa bila hata vibration.

  Ngoja nitembelee hiyo link nione kama kuna utambuzi wowote.

  Thanks Mtazamaji
   
 9. T

  Tiger JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145

  Dah! Hii safi sana,
  kama kweli unafanya hivyo basi jamaa lazima wakuogope sana.
  Nimeipenda hii.
   
 10. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Tabia zetu za kutaka vitu kwa bei rahisi ndio imetuponza na kutufanya kila kitu kinachotuzunguka kuwa feki.

  mtu unaambiwa betri la blackberry original $30 na feki $5 sasa unapiga hesabu za haraka haraka unaona bora simu inawaka tu na kama inaisha haraka si utatembea na chaja matokeo yake feki zinapata soko kushinda hio original.
   
Loading...