Inatumika kwa ajili ya kupokea malipo kutoka nje.
Mfano we ni freelancer umefanya kazi online ntu anataka kukulipa yuko marekani nafanya kudumbukiza ela mle.
labda hamkuelewa vizuri kabla ya kuagiza hiyo card
hiyo kadi ya payoneer ni maalumu kwaajili ya kupokea malipo kutoka kwa kampuni au watu wanaotumia hizo kadi ambao labda unakuwa umefanya kazi kwa njia ya mtandao na wanakulipa kwa njia hiyo mfano:fiverr,freelancer,udemy n.k
so huwezi kuitop up wewe mwenyewe kwa card nyingine kama sio payoneer
payooner kwa Tanzania ni kama mbadala wa paypal sema wana makato makubwa kwa mwaka kama hauitumii sana so mimi niliachana nao