Naipuli JF-Expert Member Joined Oct 8, 2012 Posts 266 Reaction score 110 Jan 23, 2016 #21 Chief-Mkwawa said: inategemea na aina ya simu uliyonayo, simu yako ni aina gani? Click to expand... Mkuu, mimi natumia TECNO L6. Ujazo wa Battery ni 4,500mAh.
Chief-Mkwawa said: inategemea na aina ya simu uliyonayo, simu yako ni aina gani? Click to expand... Mkuu, mimi natumia TECNO L6. Ujazo wa Battery ni 4,500mAh.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,239 Jan 23, 2016 #22 Naipuli said: Mkuu, mimi natumia TECNO L6. Ujazo wa Battery ni 4,500mAh. Click to expand... zidisha tu mara 4 halafu ongeza kidogo maana ukichaji kuna umeme kiasi fulani hupotea. hapo utakuja kama 25,000 mah ili ichaji mara 4
Naipuli said: Mkuu, mimi natumia TECNO L6. Ujazo wa Battery ni 4,500mAh. Click to expand... zidisha tu mara 4 halafu ongeza kidogo maana ukichaji kuna umeme kiasi fulani hupotea. hapo utakuja kama 25,000 mah ili ichaji mara 4