DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,184
- 2,597
kwa mfano kwa cmu zetu hz kama techo au huawei kama me natumia tecnoinategemea na aina ya simu uliyonayo, simu yako ni aina gani?
hio tecno haina jina? nataka kujua ujazo wa battery lakokwa mfano kwa cmu zetu hz kama techo au huawei kama me natumia tecno
inategemea na aina ya simu uliyonayo, simu yako ni aina gani?
mkuu battery yenyewe ni hiyo ya Note 3, kwa hapo dar zinapatikana maeneo gani! pia unanishauri nichukuwe ya mAh ngapi? na bei yake tafadhali
Mi nnazo original za mAH 20000 na mAH 10800 zote unaweza kuchaji kwa umeme na ukiwa sehe ambayo haina umeme zinatumia solar ni nitumie namba yako yako ya whatsapp nikutumie picha
battery yako ni 3200mah so ili uwe comfortable kucharge mara nne atleast uwe na powerbank ya 15,000 mah.
tembelea hii thread hapa itakusaidia
Feedback Baada ya Kununua PowerBank na Ushauri Kwa Wengine
hio thread zimetajwa powerbank nzuri, jinsi ya kuzijua fake (zipo nyingi sana fake), bei zake na mahala zilipo
Mkuu kuna power bank za PINENG nazo ni nzuri mno ukiipata original kama ikiwa full charge utachaji simu yako mara nyingi
Ipo ya 20000mAh ni tsh.80000/= hapo kariakoo ila inapatikana ktk maduka machache sana kwa ufupi ni adimu ila ukiipata utafurahia maisha
Mimi natumia power bank ya Tiger
uwezo ni 9000 mAh 33.3Wh pia ina tochi
nilinunua mwezi wa nane..inachaji Mara nne kwa siku..betri ya simu yangu ni 1800 mAh ..
mkuu hiyo ni mAh ngapi? na bei yake ikoje?