Nitagombea ubunge jimbo la Serengeti 2015

Nitagombea ubunge jimbo la Serengeti 2015

Hapa ndo penye tatizo...watu wanawaza sana uongozi badala ya kujenga chama kwanza...ikitokea mtu akiwekwa pembeni ndo tunasikia maneno maneno. Nashauri kwanza mjenge chama, habari za kugombea utaratibu utafuatwa vyema kwa wale wanaostahili kugombea kutokana na sifa zilizowekwa na chama.

Nyakarungu pia alisema kugombea Serengeti
 
duh siku hizi watu wanatangaza nia moja kwa moja . .....zamani walikuwa wanasema nimeombwa na "wazee" kugombea.....siasa bwana.....
 
Naona vijana mmeamua njia ya kuwatoa kimaisha imekuwa kupitia mlango wa WALASIASA na sio WANASIASA wa ukweli.
 
Hapa ndo penye tatizo...watu wanawaza sana uongozi badala ya kujenga chama kwanza...ikitokea mtu akiwekwa pembeni ndo tunasikia maneno maneno. Nashauri kwanza mjenge chama, habari za kugombea utaratibu utafuatwa vyema kwa wale wanaostahili kugombea kutokana na sifa zilizowekwa na chama.

Nyakarungu pia alisema kugombea Serengeti
mkuu
siasa ndiyo inaongoza kwa maslahi makubwa kuliko kazi zote Tanzania...madaktari wanaitaka...wahandisi....wasanii...waganga wa jadi.....tunahitaji mabadiliko....kazi ya siasa iwe ya kujitolea na ifanywe baada ya kazi ya uzalishaji....
 
Watu mko Dar mnaota Ndoto za Mchana, CC tunakomaa na M4C na michango yetu ya Ujenzi wa Chama huko Serengeti inajulikana na Record ziko Makao makuu, Kwa systeam ya sasa ya CHADEMA ili upate nafasi ya Kugombea ni lazima uwe na Record ya aina yake katika Kujenga Chama kupiga M4C na kujitolea kwa hali na mali, na si kukaa Mjini na kuota Ubunge, utausikia endapo hutakomaa kujenga Chama

Kwa sasa mambo mengine yatawekwa pembeni, Kama hushiriki kujenga Chama acha kujisumbua mkuu make utafyekwa wilayani, wanao Tangaza Nia kwa sasa wako Vijijini wanapiga M4C watu wanalaa kwenye mahema, wana tembea kwa Baiskeli, Pikipiki na hata Punda Ilimuradi kutoa elimu, sasa wengine wako Mjini wanakula AC and then wanaota Ubunge, Mkuu bila kupambana watu wakuone na Chama kikuone utakuwa unajidanganya Bure, kwa CHADEMA kwa sasa hakuna hilo bali ni juhudi pekee, wewe unazania wakina MAWAZO huko Kanda ya Ziwa wanacheza?
changezzz inaanzia huko vijijini huku dar tupo fiti tunawang'oa tu
 
mm mzaliwa wa mugumu jilani sana na hapo twn sehemu 1 inaitwa morotonga jirani na kns katoliki mugumu. napata faraja nyingi sana kuona sasa wana serengeti tumeamka na kutaka kuikomboa kwetu, haiwezekani wilaya yetu iingize mapato mengi ktk serikari ya hawa majangili alf kwetu hakuna hata kipande cha lami na maji yapatikane kwa shida? hapo ni mjini vp watu wa bwitengi,bulunga,nyaketono,park, morotonga na kwingineko kwingi? tushikamane pa1 ktk serengeti yetu. japhet kembo i leave tabata dar es salaam. 0713155518
 
omokora nyangi wewe ni mkaz wa kijiji gani pale Serengeti?? umesaidiaje katika harakati za siasa jimboni kwa hiyo miaka sita ulioyoisema?? pia elimu yako ni ya level gani? na umejipangaje kupambana na Dr. Kebwe Steven Kebwe pamoja na wapm,mbe wake akina John Chacha Ng'oina, unalichukuliaje sula la ukanda yaani ukooo maana Serengeti watu wanapiga kura kikooo na pia tutakuaminije kuwa wewe ni moja kati ya wale watu wa kuaminika??? wasiotumwa na CCM, pia una juana vp na watu ambao unaweza kuwafanya kuwa mawakala wako juimbo zima na ukawaamni kuwa hawawezi uza kura kwa CCM,,,, ucje ukawa kama Grayson NYakarungu aliesepa jimboni kabla ya zoezi la uhesabuji kura halijaisha????? pia umejiapanga vp kukabiliana na vikwazo vya wazee wa mila ambao hutumiwa na CCm kuwapa maonyo makali wapinzani???? plz nijibu
 
mwal Ryoba vp Serengeti siasa ikoje mda huu??? mbona ofisi yetu ya CHADEMA wilaya nimekuja huko mara 4 mfululizo nikakuta imefungwa na pia nitapataje namba zenu nyie viongozi wa chama jimboni????? nilikuwa na safari fupi nyumbani lakini nilisikitik sana kukuta ofisi imefungwa mda wote ....
 
Chadema naona mnacheza mchezo wa watoto aw kujenga nyumba ya mchanga isipokuwa na dirisha wala mlango. Serengeti hakuna Chadema ila vijana wachache wasipowasifu na kazi ndiyo wanahangaika na kujiita Chadema tena wako mugumu mjini. Kwa nini tuandikie mate na wino upo. Tamati ni 2015 na Wakati ni ukuta.
 
Chadema naona mnacheza mchezo wa watoto aw kujenga nyumba ya mchanga isipokuwa na dirisha wala mlango. Serengeti hakuna Chadema ila vijana wachache wasipowasifu na kazi ndiyo wanahangaika na kujiita Chadema tena wako mugumu mjini. Kwa nini tuandikie mate na wino upo. Tamati ni 2015 na Wakati ni ukuta.
jidanganye baba na endelea kujidanganya hivo hivo, we are coming to take over 2015
 
Wale watangaza nia jimbo la Serengeti ni wakati wenu huu. 2015 imejionesha bayana jimbo linachukuliwa na wapinzani.
 
Omokora wa Gi Nyangi wewe ni mwana Chadema ? Unaijenga Chadema huko? Naona kama hufai kwa kuwa wewe kuingia Chadema unataka madaraka ulipo ona kwamba Chadema haijakaa swa Serengeti hukutaka kuingia kuijenga kabla hujaja JF kutangaza nia .

Je unatangaza JF nia yako ukiwa na maana gani ? Isije ukawa uko CCM una pima upopo hapa ukatiwe chako ukatulie ? Nakushauri nenda Chadema ukapimwe kwa kazi na si elimu yako .Kama ni Elimu CCM wanazo kubwa na za kutisha za kweli na wanazo lukuki za kuunga unga na majina kama Mchumi namba moja au fest klasi .

well said mkuu,
nina wasiwasi huyu ni Nyakarungu anajaribu kupima upepo wa CDM baada ya kukimbilia kambi ya ZZK,na sasa anataka kuisikilizia CDM kama inasemwaje huko ili maji yakimfika shingoni ajisalimishe
 
Uuuwiiiiiii, ulivyo na madeni mengi hivyo utachaguliwa na nani wewe?
 
Back
Top Bottom