Dogo humuwezi kangi lugola..ile mashine dogo,fyata mkia dogo, yule babalaooooooooo. Adabu ipo hapo. Ile ni yolushima ikifyatua inafyatuka. Nenda kagombee kwa juma nkamia au mwigulu nchemba dogo. Hiyo mashine huiwezi kaka....hahhhhhhh, kagombee kwa dr kawambwa au kwa mzee wa matusi wa mtera....