Nitafutie Kazi Za Photography Na Video Shooting (20% YAKO)

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Mambozi Wana JF Wale Wapenda Kamisheni Haya Kazi Kwenu!!! Nitafutie Kazi Za Video Shooting Na Photography Katika Matukio Mbalimbali Kama HARUSI, MSIBA, MAHAFALI NK. Mimi Nitakupa 20% Ya Thamani Ya Kazi Uliyonitafutia Mfano; Umenitafutia Kazi Ya Package Ya 300,000/= Basi Hapo 60,000/= Ni Yako. Na Nitakupa Pale Tu Ninapokabidhiwa Malipo Ya Hiyo Kazi. Napatikana Mkoa Wowote Na Package Zangu Zinaanzia 250,000/= MPAKA 1,000,000/= Hutegemea Na Uhitaji Wa Mteja. PICHA NA CD YA SHEREHE YAKO NITAKUPATIA NDANI YA MASAA 24 BAADA YA SHUGULI KUISHA. Ina Maana Kama Shughuli Imeisha Leo Saa 7 Basi Kesho Saa 7 CD & PICTURES ZITAKUWA TAYARI. NAPATIKANA MKOA WOWOTE. Niulize au Njoo Tujadiliane Hapa 0755096859. (BUSINESS PARTNER PIA ANAHITAJIKA ANAYEPENDA KUWEKEZA KWENYE SOKO LA PHOTOGRAPHY)
 
Eleza vizuri package yako kuendana na price range yako ya 250,000/- mpaka 1m. mfano plasma TV ngapi na inchi ngapi?, projectors? DVD? Boom swinger, album? CD? frame? Studio? etc

Angalau uwe unaweka nyama zinazoendana na bei maana toka 250,000/- mpaka 1m ni parefu!
 
Back
Top Bottom