Raiamwematz Senior Member Joined May 9, 2012 Posts 104 Reaction score 28 Jun 27, 2012 #1 Habari, mimi natumia simu aina ya NOKIA, ambayo ina uwezo wa kuwa na internet. Sasa nafanyeje kujiunga na mtandao?? natumia laini ya tigo. Naombeni kwa anayefahamu anaisaidie kwa hili. Asanteni
Habari, mimi natumia simu aina ya NOKIA, ambayo ina uwezo wa kuwa na internet. Sasa nafanyeje kujiunga na mtandao?? natumia laini ya tigo. Naombeni kwa anayefahamu anaisaidie kwa hili. Asanteni
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Jun 27, 2012 #2 weka laini ya voda kisha nenda kwenye sms tuma neno kwa mfano (Internet nokia n70) kwenda namba 15300,hiyo setting utatumia kufungulia line ya tigo
weka laini ya voda kisha nenda kwenye sms tuma neno kwa mfano (Internet nokia n70) kwenda namba 15300,hiyo setting utatumia kufungulia line ya tigo
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,601 Reaction score 6,723 Jun 27, 2012 #3 ngosha2011 said: weka laini ya voda kisha nenda kwenye sms tuma neno kwa mfano (Internet nokia n70) kwenda namba 15300,hiyo setting utatumia kufungulia line ya tigo Click to expand... MMH INAKUBALI HII KITU ngosha? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ngosha2011 said: weka laini ya voda kisha nenda kwenye sms tuma neno kwa mfano (Internet nokia n70) kwenda namba 15300,hiyo setting utatumia kufungulia line ya tigo Click to expand... MMH INAKUBALI HII KITU ngosha?
N Nyasiro JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,201 Reaction score 551 Jun 27, 2012 #4 Nenda kwenye Settings ----> Connectivity----->Data Accounts** Ila sina hakika kama ni Data Accounts then weka hizi configuration. Tumia hizi settings: IP Address 10.168.20.80 Port: 9201
Nenda kwenye Settings ----> Connectivity----->Data Accounts** Ila sina hakika kama ni Data Accounts then weka hizi configuration. Tumia hizi settings: IP Address 10.168.20.80 Port: 9201
A Akida kaka Member Joined Feb 17, 2011 Posts 53 Reaction score 5 Jun 27, 2012 #5 nyasiro said: Nenda kwenye Settings ----> Connectivity----->Data Accounts** Ila sina hakika kama ni Data Accounts then weka hizi configuration. Tumia hizi settings: IP Address 10.168.20.80 Port: 9201 Click to expand... kuongezea ; kwenye APN. .. weka "tigowap" ..
nyasiro said: Nenda kwenye Settings ----> Connectivity----->Data Accounts** Ila sina hakika kama ni Data Accounts then weka hizi configuration. Tumia hizi settings: IP Address 10.168.20.80 Port: 9201 Click to expand... kuongezea ; kwenye APN. .. weka "tigowap" ..
Born Star JF-Expert Member Joined Oct 24, 2011 Posts 365 Reaction score 257 Jun 27, 2012 #6 ngosha2011 said: weka laini ya voda kisha nenda kwenye sms tuma neno kwa mfano (Internet nokia n70) kwenda namba 15300,hiyo setting utatumia kufungulia line ya tigo Click to expand... hii haiwezekani labda utoe somo zaidi seting zinatofautiana bro
ngosha2011 said: weka laini ya voda kisha nenda kwenye sms tuma neno kwa mfano (Internet nokia n70) kwenda namba 15300,hiyo setting utatumia kufungulia line ya tigo Click to expand... hii haiwezekani labda utoe somo zaidi seting zinatofautiana bro