Nitachukua kadi ya CCM Oct 30th 2015

Nitachukua kadi ya CCM Oct 30th 2015

Mtoto wa Mama Samia

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
772
Reaction score
392
Kama CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA itapoteza uchaguzi huu kihalali, na yenyewe ikakubali, basi mimi kwa mara ya kwanza nitachukua kadi ya ccm na kuwa mwanachama. Haina haja ya kuwa na upinzani.

Hasa nasema hivyo baada ya kuona viongozi mahiri wa upinzani walotuaminisha kwa miaka nenda rudi kwamba tuwe ngangari tupambane tuitoe ccm madarakani kumbe wao sio ngangari, wana ngozi laini ajabu, Mwiba mmoja tu unawachoma hapohapo wanaahirisha safari. Kama viongozi wana ngozi laini kiasi hiki,normal members itakuwaje?

Swali jingine, kama viongozi tuliowategemea kabisa kwamba hawana bei lakini wametupiwa kipande cha mkate wakaamua kuikacha safari ya kwenda kufaidi keki, itakuwa mimi a mere lumpen?

Wanamabadiliko niambieni, kama leo katika timu UKAWA Zitto ndani, Mkumbo ndani, Arfi ndani, Dr Slaa ndani, Prof Lipumba ndani... hata na Yuda mkubwa kuliko yule Yuda wa kwenye Biblia, Shibuda ndani, CCM si wangekuwa wameshajinyea sasa hivi? Agghrrrrrrr.. .. refer the heading.
 
Swali jingine, kama viongozi tuliowategemea kabisa kwamba hawana bei lakini wametupiwa kipande cha mkate wakaamua kuikacha safari ya kwenda kufaidi keki, itakuwa mimi a mere lumped?

Wanamabadiliko niambieni, kama leo katika timu UKAWA Zitto ndani, Mkumbo ndani, Arfi ndani, Dr Slaa ndani, Prof Lipumba ndani... hata na Yuda mkubwa kuliko yule Yuda wa kwenye Biblia, Shibuda ndani, CCM si wangekuwa wameshajinyea sasa hivi? Agghrrrrrrr.. .. refer the heading.

kazi ya ukombozi ngumu poti.hata kina nyerere,kenyatta,nkruma walisalitiwa lakin walisimama kidete had uhuru ukapatikana
 
Unataka kuturudisha misri hebu kuwa positive hata kidogo basi
 
nchi ya tanzania haipo duniani bali ipo guniani...tena gunia la taka chafu ambalo liko nje ya nyumba(duniani)likimsubiri mzoa taka(shetani)alipitie akaritupilie mbali kabla bwana usafi(mungu)kupitia vitaru vyake visafi...
 
Mimi sichukui kadi ya chama chochote cha siasa sababu nataka niwe huru. Hiyo tarehe uliyoitaja, ndo tarehe ambayo nitakuwa shabiki tu wa CCM ili tuweze kuikosoa serikali ya UKAWA pale itakapo kuwa inakosea. Napenda sana CCM kiwe a strong opposition party.
 
Naomba uachane na hayo mawazo mwisho wa ccm ni october 25. CCM haiwezi hata kumshika mtu aliyekula dili ya richmond ni serikali dhaifu na dhalimu ambayo haipaswi kuaminiwa na wananchi. Huwezi kushika mwizi utaeweza kulinda rasilimali zetu. Go to hell CCM
 
Inaleta faraja, basi I support it, go to the hell ccm together with your allies.
 
nchi ya tanzania haipo duniani bali ipo guniani...tena gunia la taka chafu ambalo liko nje ya nyumba(duniani)likimsubiri mzoa taka(shetani)alipitie akaritupilie mbali kabla bwana usafi(mungu)kupitia vitaru vyake visafi...
Aisee!
 
Kwanini msimwone kama Mbowe ndo tatizo kwa kushindwa kufanya kazi na watu wote hao?Na mbona madai yote wanayoyalalamikia ndani ya chaggadema hayajawahi kurekebishwa?Makamanda mnaonaje TUMCHUKULIE FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI TUNDULISSU MUDA UKIFIKA.
 
Kwanini msimwone kama Mbowe ndo tatizo kwa kushindwa kufanya kazi na watu wote hao?Na mbona madai yote wanayoyalalamikia ndani ya
chaggadema hayajawahi kurekebishwa?Makamanda mnaonaje TUMCHUKULIE FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI
TUNDULISSU MUDA UKIFIKA.
Usiusemee moyo, Kwani Lissu amekwambia umuchukulie form za uenyekiti?
 
Kwani ulishindwaje kujiunga na vyama vya akina yuda?
 
Tuko safarini kuelekea kanaan, hata nyoka anaweza kutuongoza bora tufike
 
Kwanini msimwone kama Mbowe ndo tatizo kwa kushindwa kufanya kazi na watu wote hao?Na mbona madai yote wanayoyalalamikia ndani ya chaggadema hayajawahi kurekebishwa?Makamanda mnaonaje TUMCHUKULIE FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI TUNDULISSU MUDA UKIFIKA.

Amekula maharagwe ya wapi huyu?
 
nenda kachukue tu hiyo kadi leo. wala usisubiri hiyo tarehe. wapinzani tunashindaje tukiwa vipande vipande? hii itkua ajabu lingine la dunia.

Kama CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA itapoteza uchaguzi huu kihalali, na yenyewe ikakubali, basi mimi kwa mara ya kwanza nitachukua kadi ya ccm na kuwa mwanachama. Haina haja ya kuwa na upinzani.

Hasa nasema hivyo baada ya kuona viongozi mahiri wa upinzani walotuaminisha kwa miaka nenda rudi kwamba tuwe ngangari tupambane tuitoe ccm madarakani kumbe wao sio ngangari, wana ngozi laini ajabu, Mwiba mmoja tu unawachoma hapohapo wanaahirisha safari. Kama viongozi wana ngozi laini kiasi hiki,normal members itakuwaje?

Swali jingine, kama viongozi tuliowategemea kabisa kwamba hawana bei lakini wametupiwa kipande cha mkate wakaamua kuikacha safari ya kwenda kufaidi keki, itakuwa mimi a mere lumpen?

Wanamabadiliko niambieni, kama leo katika timu UKAWA Zitto ndani, Mkumbo ndani, Arfi ndani, Dr Slaa ndani, Prof Lipumba ndani... hata na Yuda mkubwa kuliko yule Yuda wa kwenye Biblia, Shibuda ndani, CCM si wangekuwa wameshajinyea sasa hivi? Agghrrrrrrr.. .. refer the heading.
 
Kwanini msimwone kama Mbowe ndo tatizo kwa kushindwa kufanya kazi na watu wote hao?Na mbona madai yote wanayoyalalamikia ndani ya chaggadema hayajawahi kurekebishwa?Makamanda mnaonaje TUMCHUKULIE FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI TUNDULISSU MUDA UKIFIKA.
ama kweli wewe humtakii mema lisu. hivi unafikiri Lisu haoni yaliyomkuta hayati wangwe na Zitto? ile nafasi ni yakifamilia zaidi. kaa mbali nayo kama unataka kuwa salama chadema.
 
Tatizo sio vyama watanzania mlielewe hilo vayama kwamfano ukawa vinataka kuwakomboa wananchi na vime jaribu kuwatetea katika sehemu mbalimbali ikiwemo bungeni majukwaa ya siasa kupitia rasimu za katiba pendekezwa tatizo ni akili za wananchi wenyewe wanaao tetewa hawana akili mpaka leo huwezu amini bado kuna watanzanaia wanao ishabekia ccm eeeeeeeh Mungu tusamehe bure sisi waja wako watanzania
 
Kama CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA itapoteza uchaguzi huu kihalali, na yenyewe ikakubali, basi mimi kwa mara ya kwanza nitachukua kadi ya ccm na kuwa mwanachama. Haina haja ya kuwa na upinzani.

Hasa nasema hivyo baada ya kuona viongozi mahiri wa upinzani walotuaminisha kwa miaka nenda rudi kwamba tuwe ngangari tupambane tuitoe ccm madarakani kumbe wao sio ngangari, wana ngozi laini ajabu, Mwiba mmoja tu unawachoma hapohapo wanaahirisha safari. Kama viongozi wana ngozi laini kiasi hiki,normal members itakuwaje?

Swali jingine, kama viongozi tuliowategemea kabisa kwamba hawana bei lakini wametupiwa kipande cha mkate wakaamua kuikacha safari ya kwenda kufaidi keki, itakuwa mimi a mere lumpen?

Wanamabadiliko niambieni, kama leo katika timu UKAWA Zitto ndani, Mkumbo ndani, Arfi ndani, Dr Slaa ndani, Prof Lipumba ndani... hata na Yuda mkubwa kuliko yule Yuda wa kwenye Biblia, Shibuda ndani, CCM si wangekuwa wameshajinyea sasa hivi? Agghrrrrrrr.. .. refer the heading.
UKAWA hawajapoteza uchaguzi kihalali, na wao hawajakubali maana wameporwa ushindi wao. Siwezi kuchukua kadi ya kijani kujiunga na Intalahamwe manyang'au makubwa. Ninabaki na hasira zangu kama kifaru aliyejeruhiwa. Ninamsubiri Tundu Lissu achukue kijiti.
 
Back
Top Bottom