Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Kama CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA itapoteza uchaguzi huu kihalali, na yenyewe ikakubali, basi mimi kwa mara ya kwanza nitachukua kadi ya ccm na kuwa mwanachama. Haina haja ya kuwa na upinzani.
Hasa nasema hivyo baada ya kuona viongozi mahiri wa upinzani walotuaminisha kwa miaka nenda rudi kwamba tuwe ngangari tupambane tuitoe ccm madarakani kumbe wao sio ngangari, wana ngozi laini ajabu, Mwiba mmoja tu unawachoma hapohapo wanaahirisha safari. Kama viongozi wana ngozi laini kiasi hiki,normal members itakuwaje?
Swali jingine, kama viongozi tuliowategemea kabisa kwamba hawana bei lakini wametupiwa kipande cha mkate wakaamua kuikacha safari ya kwenda kufaidi keki, itakuwa mimi a mere lumpen?
Wanamabadiliko niambieni, kama leo katika timu UKAWA Zitto ndani, Mkumbo ndani, Arfi ndani, Dr Slaa ndani, Prof Lipumba ndani... hata na Yuda mkubwa kuliko yule Yuda wa kwenye Biblia, Shibuda ndani, CCM si wangekuwa wameshajinyea sasa hivi? Agghrrrrrrr.. .. refer the heading.