Nitaandika kesho βœπŸ»πŸ™πŸ½

Ukifa usiku huu je?

Au Mungu shemeji yako?
Ila dogo awamu hii kuanzia Ile 29 tarehe umenifurahisha sana. Kabla ya hapo nilikuwa nakuweka kundi Moja na akina lucha nilidhani akili zako zipo kwa team kiba vs team diamond. Ila msimamo ulio onesha dhidi ya wadhalimu imebidi ni kupe heshima Yako.
 
Aisee.

Nimekuwa dogo tena.

Anyway nimeipokea hiyo heshima uliyonipa.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…