Dogo acha wenge,huyu ni mjanja mjanja tu kama walivyo wengine anachofanya anaangalia post zako na michango yako unayoi-post humu anajifanya ametabiri but hakuna kitu kama hiko kama alivyomfanyia mdau hapo juu post #3 hilo jibu lake limetokana na post hii hapa chini.
Kwa miaka minne sasa hakujakuwa na nyongeza ya mishahara na hali imekuwa ngumu sana kumudu maisha ya kawaida mimi kwa niaba ya wafanyakazi wa serikali ambao tulikopa kwenye SACCOS zetu kujikwamua kidogo kidogo wakati tukisukuma gurudumu la maendeleo serikalini TUNAOMBA serikali iangalie jinsi...
www.jamiiforums.com
Wewe amekujibu kutokana na ulicho-post hapa
Poleni kazi Wakuu. Jamani nahitaji msaada kwa alie na ufahamu juu ya hizo field hapo juu. Nimechaguliwa bachelor of science in geoinformatics (ARU) na bachelor degree in automobile engineering (NIT) Sasa wakuu napenda kuuliza ivi kati ya izo field ni ipi yenye future nzuri apo? And then...
www.jamiiforums.com
Usichukulie serious sana mambo ya mitandaoni utapasuka akili bure pia uzi upo chit chat so moja kwa moja ni utani wewe piga kitabu kwa amani but nachokushauri usisome huku ukiwaza kuajiriwa kama unawaza hivi basi utakuwa shule umeenda kupoteza muda.