M Milandu01 New Member Joined Aug 16, 2019 Posts 2 Reaction score 0 Aug 17, 2019 #1 Wale tulioapply NIT tujuane kabisaa..!!!!
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,053 Reaction score 15,515 Aug 17, 2019 #2 Hivi bado unasoma
mwanakijiji lugusi Senior Member Joined Apr 13, 2016 Posts 128 Reaction score 98 Aug 17, 2019 #3 Hahahahaaaaa Elimu haina mwisho
Emery Paper JF-Expert Member Joined Jun 1, 2019 Posts 1,427 Reaction score 2,737 Aug 17, 2019 #4 Milandu01 said: Wale tulioapply NIT tujuane kabisaa..!!!! Click to expand... Karibu sana JF ndugu. Nakushauri toa hiyo picha. kwa hiyo picha na username yako nshakufahamu.
Milandu01 said: Wale tulioapply NIT tujuane kabisaa..!!!! Click to expand... Karibu sana JF ndugu. Nakushauri toa hiyo picha. kwa hiyo picha na username yako nshakufahamu.
Mikopo Chefuchefu JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 3,373 Reaction score 6,805 Aug 17, 2019 #5 Emery Paper said: Karibu sana JF ndugu. Nakushauri toa hiyo picha. kwa hiyo picha na username yako nshakufahamu. Click to expand... Kwani kuna ubaya gani akifahamika?
Emery Paper said: Karibu sana JF ndugu. Nakushauri toa hiyo picha. kwa hiyo picha na username yako nshakufahamu. Click to expand... Kwani kuna ubaya gani akifahamika?
M MWANAKA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2013 Posts 4,894 Reaction score 4,446 Aug 17, 2019 #6 Emery Paper said: Karibu sana JF ndugu. Nakushauri toa hiyo picha. kwa hiyo picha na username yako nshakufahamu. Click to expand... Usitishe watu bana nini mbaya kuweka hiyo picha
Emery Paper said: Karibu sana JF ndugu. Nakushauri toa hiyo picha. kwa hiyo picha na username yako nshakufahamu. Click to expand... Usitishe watu bana nini mbaya kuweka hiyo picha
M MWANAKA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2013 Posts 4,894 Reaction score 4,446 Aug 17, 2019 #7 Milandu01 said: Wale tulioapply NIT tujuane kabisaa..!!!! Click to expand... Nipo Jirani na hapo na huenda nikaja mwaka huu niongeze ujuzi zaidi msalimie Prof Mganilwa
Milandu01 said: Wale tulioapply NIT tujuane kabisaa..!!!! Click to expand... Nipo Jirani na hapo na huenda nikaja mwaka huu niongeze ujuzi zaidi msalimie Prof Mganilwa
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Aug 17, 2019 #8 Emery Paper said: Karibu sana JF ndugu. Nakushauri toa hiyo picha. kwa hiyo picha na username yako nshakufahamu. Click to expand... Kwani kuna ubaya ukimfahamu?
Emery Paper said: Karibu sana JF ndugu. Nakushauri toa hiyo picha. kwa hiyo picha na username yako nshakufahamu. Click to expand... Kwani kuna ubaya ukimfahamu?
Emery Paper JF-Expert Member Joined Jun 1, 2019 Posts 1,427 Reaction score 2,737 Aug 17, 2019 #9 MWANAKA said: Usitishe watu bana nini mbaya kuweka hiyo picha Click to expand... Sijamtisha, bali nimempa ushauri. Ni new member na namfahamu. Kwa sababu ya uhuru wake baadae humu JF ndio maana nimemshauri hivyo kabla wengine ambao wanamfahamu hamjambua pia.
MWANAKA said: Usitishe watu bana nini mbaya kuweka hiyo picha Click to expand... Sijamtisha, bali nimempa ushauri. Ni new member na namfahamu. Kwa sababu ya uhuru wake baadae humu JF ndio maana nimemshauri hivyo kabla wengine ambao wanamfahamu hamjambua pia.
Emery Paper JF-Expert Member Joined Jun 1, 2019 Posts 1,427 Reaction score 2,737 Aug 17, 2019 #10 Mikopo Chefuchefu said: Kwani kuna ubaya gani akifahamika? Click to expand... Kwani kuna ubaya gani na wewe ukitumia jina lako halisi na kubadili hiyo Avatar kwa kuweka picha yako halisi ?
Mikopo Chefuchefu said: Kwani kuna ubaya gani akifahamika? Click to expand... Kwani kuna ubaya gani na wewe ukitumia jina lako halisi na kubadili hiyo Avatar kwa kuweka picha yako halisi ?
Emery Paper JF-Expert Member Joined Jun 1, 2019 Posts 1,427 Reaction score 2,737 Aug 17, 2019 #11 Pulisic CFC said: Kwani kuna ubaya ukimfahamu? Click to expand... Hakuna ubaya. Labda kwa nini wewe haukutumia jina lako halisi na kuweka Avatar ambayo ni picha yako ?
Pulisic CFC said: Kwani kuna ubaya ukimfahamu? Click to expand... Hakuna ubaya. Labda kwa nini wewe haukutumia jina lako halisi na kuweka Avatar ambayo ni picha yako ?
Mikopo Chefuchefu JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 3,373 Reaction score 6,805 Aug 17, 2019 #12 Emery Paper said: Kwani kuna ubaya gani na wewe ukitumia jina lako halisi na kubadili hiyo Avatar kwa kuweka picha yako halisi ? Click to expand... So much is at stake! Mimi nina madhambi mengi. Nikitumia real name, it will be a dissaster!
Emery Paper said: Kwani kuna ubaya gani na wewe ukitumia jina lako halisi na kubadili hiyo Avatar kwa kuweka picha yako halisi ? Click to expand... So much is at stake! Mimi nina madhambi mengi. Nikitumia real name, it will be a dissaster!
Emery Paper JF-Expert Member Joined Jun 1, 2019 Posts 1,427 Reaction score 2,737 Aug 17, 2019 #13 Mikopo Chefuchefu said: So much is at stake! Mimi nina madhambi mengi. Nikitumia real name, it will be a dissaster! Click to expand... Ndo maana nikamshauri huyu ndugu yangu atoe hiyo picha ili aendelee kifurahia uhuru humu jukwaani kama tunavyofanya wengine.
Mikopo Chefuchefu said: So much is at stake! Mimi nina madhambi mengi. Nikitumia real name, it will be a dissaster! Click to expand... Ndo maana nikamshauri huyu ndugu yangu atoe hiyo picha ili aendelee kifurahia uhuru humu jukwaani kama tunavyofanya wengine.
Emery Paper JF-Expert Member Joined Jun 1, 2019 Posts 1,427 Reaction score 2,737 Aug 21, 2019 #14 Milandu01 said: Wale tulioapply NIT tujuane kabisaa..!!!! Click to expand... Safi sana ndugu Is........ kwa kufuata ushauri.
Milandu01 said: Wale tulioapply NIT tujuane kabisaa..!!!! Click to expand... Safi sana ndugu Is........ kwa kufuata ushauri.