Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Lichuo la hovyo hovyo HILI,kuna udictator mkubwa sana hapo naskia mwaka Jana wamelazimishia watu warudie mwaka bila kufata prospectors ya chuo chaoKwasasa Chuo cha Taifa cha usafirishaji(NIT) kimepanda hadhi na kuwa CHUO KIKUU, au university na sasa kitaitwa NATIONAL UNIVERSITY OF TRANSPORT(NUT)
Hii ni baada ya Wachina kuweka Mzigo wa maana KUKIJENGA vizuri na kuwa MOJA YA CHUO BORA CHA usafirishaji barani Africa. View attachment 785627
Lichuo la hovyo hovyo HILI,kuna udictator mkubwa sana hapo naskia mwaka Jana wamelazimishia watu warudie mwaka bila kufata prospectors ya chuo chao
Management mbovu mno,labda waache Yale yaliyoelezwa na member mmojahumu jamvini
Umeongea kitu muhimu sana ndugu yanguBado hakijawa mpaka Bunge lipitishe na Mkulu aridhie. Hata hivyo tuwapongeze ni mwanzo mzuri. Tahadhari -wakipanda basi wasije wakajisahau na kufuta programmes za kipekee wanazo endesha chini ya NACTE, hizo ziendelee na ziboreshwe lakini wanapoweza waanzishe degree programs bila kuathiri certificate na diploma programs. La pili wawe makini wasiingie kichwa kichwa kama Mzumbe walivyofanya hasa upande wa walimu. Kuwa na mpango madhubuti wa transformation na recruitment ili wapatikane walimu wakutosha wenye hadhi ya chuo kikuu na waliopo wapate nafasi ya kwenda kuongezea viwango.
Kumbe umesikia,nilidhan wewe ndo mhangaLichuo la hovyo hovyo HILI,kuna udictator mkubwa sana hapo naskia mwaka Jana wamelazimishia watu warudie mwaka bila kufata prospectors ya chuo chao
Management mbovu mno,labda waache Yale yaliyoelezwa na member mmojahumu jamvini
Bado hakijawa mpaka Bunge lipitishe na Mkulu aridhie. Hata hivyo tuwapongeze ni mwanzo mzuri. Tahadhari -wakipanda basi wasije wakajisahau na kufuta programmes za kipekee wanazo endesha chini ya NACTE, hizo ziendelee na ziboreshwe lakini wanapoweza waanzishe degree programs bila kuathiri certificate na diploma programs. La pili wawe makini wasiingie kichwa kichwa kama Mzumbe walivyofanya hasa upande wa walimu. Kuwa na mpango madhubuti wa transformation na recruitment ili wapatikane walimu wakutosha wenye hadhi ya chuo kikuu na waliopo wapate nafasi ya kwenda kuongezea viwango.
Kwani chuo kupanda daraja kigezo ni kupata mkopo?
Yaani kupandisha chuo hadhi mpaka nchi isaini mikataba na nchi nyingine?
Mbona ni kazi ya TCU hiyo?
Au mikataba hiyo inasaidiaje kiwango cha chuo kupanda wakati hata hakuna kitu kilichotekelezwa na hela hazijatumika kuboresha chochote mpaka sasa?
Advocate ongea kwa mpangilio. Kama hujui kilichotokea Mzumbe ilipo pandishwa hadhi kuna nyuzi humu JF zitakuelimisha vizuri. Sina haja ya kuyarudia hayo, sasa Mzumbe kimekaa vizuri zaidi tunashukuru vijana wetu wanapata elimu bora zaidi. Hapa tunaongelea jinsi ya kuwapa vijana access kwa elimu bora, sina chuki na Mzumbe hayo tunawaachia nyie wafia vyuo (mnaoita vyuo vya wenzenu vyuo vya kata).Watu mliosoma vyuo vya kata mna chuki na Muzmbe, sasa walimu mzumbe wamefanya nn? Hahahaha
Kunawakati tulishikwa na ugonjwa wa "univestimania", tulitaka kugeuza kila chuo cha kati kuwa chuo kikuu bahati kuna mtu alishtuka ingawa tilisha poteza vyuo vya kutosha.Mwakani 2019 itakuwa ni zamu ya VETA kupandishwa hadhi hadi university of VETA