Karibuni sana vijana NIT the mother of transportation course east africa,ila chuo kinapitia mabadiliko mengi sana ya kiuongozi na kimazingira hivyo jitahidini kua wavumilivu maana idadi ya wanafunzi inaongezeka siku baada ya siku,hivyo mifumo pia inakua katika changamoto kubwa ya mabadiliko,muhimu kujua chuo bado kipo katika wizara ya uchukuzi so mtakutana na madereva kibao daily,msijedhani nao ni walimu mkasalimia kila saaa kwa hofu.Msisahau kuwahi hostel za chuo mapema maana ni chache mno hivyo atakaye wahi basi atapata.Asante