fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,473
Utanielewa vipi wakati ww ni kichwa majiSawa bichwa tope nimekuelewa
Hua mnapapara sana humu jamvini hususan mwaka wa kwanza utadhani wengine hawakuwahi kupitia system mnayopitia nyinyi,afu wepesiiiiii kulaumuuuu.Vyuoni kuna kazi ngumu sanaaaa,kwa mwaka huu vingi vinajarbu kua makini katka kuweka mambo sawa na kujiridhisha ili kuendana sambamba na serikali,kwa hyo yapaswa mtu ukiwaunatoa maneno yenye ladha chafu yarudie mara mbilimbili.Chuo cha NIT ni roho ya serkal ktk transport,sasa wewe kisa hujaona majina ktk website ya chuo ndo uanze kuleta maneno machafu basi huo ni ukosefu wa adamu na stara,wenzio walijiona wasomi na hakuna wengine zaid yao na mwisho wa siku wanalia mitaani tu hukuu kwa njaa maana no ajira naumezoea kulaumu tu so unakosa wa kumlaumu na hatimae ndo mnakuja kua panya road n nyinyi,wezi na matapeli.kua msomi kijana fatilia mambo kwa mapana acha kwenda kwa mazoea,nenda selection za tcu wao ndo wenye mamlaka wakikuchagua hakuna wa kukurudisha, ukipata chance pia ni vyema ukauliza wanafunzi wenzio pale wakusaidie na si kila siku unajaza thread kwa hayo mambo yako ya ajabu
haya dogo kuna degree ya malalamiko hua vijana wengine ndo maeneo ya kufanya field sasa,kijana unaendelea kuimprove katika ubora wako,muhimu umeelekezwa angalia account yako ya tcu sasa wewe waendelea bwabwaja, kazi kwako sasaBro facilitator, mbona povu sana? haturushi ngumi hapa aisee. hehehee
Na una bwabwaja tu. Unajitetea kwa pumba kabisa.
"...Vyuoni kuna kazi ngumu sanaaaa,kwa mwaka huu vingi vinajarbu kua makini katka kuweka mambo sawa na kujiridhisha ili kuendana sambamba na serikali..."
Vyuo vingine vyote tayari (including vya serikali). Ila nyie NIT bado hamjatoa selection list ya bachelor degree hata 1st round!
Kwahiyo hivyo vyuo vingine vyote wamelipua kazi eeh, ila nyie NIT ndiyo mpo makini saaaana na kazi ili muendane na serikali? hehehee mnajitetea kitoto kabisa.
-Kaveli-
Mkuu mbona majina hayafunguki,inasema file corruptedpovu la nini majina yapo kwenye web ya chuo tangu Jana.
Majina yanafunguka bhanaMkuu mbona majina hayafunguki,inasema file corrupted