NIT, MUHAS, CBE, IFM,UDSM HOSTEL!

NIT, MUHAS, CBE, IFM,UDSM HOSTEL!

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
Hostel for rent. Near NIT Mabibo 10 minutes walk, along the road suitable for students at IFM, CBE, MUHAS, UDSM and colleges nearby.
Single bus to all these places. Call PM owner.
Clean and secured place for 50,000/.
 

Attachments

  • IMG_20160827_222611.jpg
    IMG_20160827_222611.jpg
    57.9 KB · Views: 194
Lete pichaaa na utoe maelezo nichumba cha mtu mmoja mmoja ama mnarundika watu 8 chumba kimoja
 
chumba 50,000????labda uswahilini sanaa na sehemu kama hizo kutakua hamna mazingira mazuri ya kujisomea..kwa wale wa IFM Karibuni sana KIGAMBONI the city of IFM............
 
chumba 50,000????labda uswahilini sanaa na sehemu kama hizo kutakua hamna mazingira mazuri ya kujisomea..kwa wale wa IFM Karibuni sana KIGAMBONI the city of IFM............
mkuu naomba walao dondoo za bei ya chumba huko kgambon,,
vipi shida ya maji
 
Wahi hostel pale iliyokuwa Landmark hotel ubungo..ni sehemu nzuri sana.
 
nahitaji chumba cha kupanga maeneo ya ubungo au mpakani kama kuna uwezekan nitafute
 
mkuu naomba walao dondoo za bei ya chumba huko kgambon,,
vipi shida ya maji
kigamboni hamna shida ya maji....ni kama sehemu nyingine tuu umeme ukikatika labda ndo shida inakuwepo.....ila maji NI YA CHUMVI KIAsi kwa maeneo ya karibu na fery...bei inategemea na ukaribu wa chumba na ferry pia na hali ya rum..chumba cha kawaida kinaanzia 60,000 au ukitaka cha kawaida sanaaa 50,000 niPM kama unahitaji rum. na ni vizuri kuwahi kabla havijaanza kuwa adimu
 
Back
Top Bottom