NIT kulikoni mpaka sasa hawajatoa selection

NIT kulikoni mpaka sasa hawajatoa selection

mrisho abdi58

Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
11
Reaction score
1
Ndugu wapendwa hv hawa nit taratibu zao zinaenda vp maana Mimi siwaelewi hadi Leo hii trh 23 mwez wa Tisa hawajatoa selection hv ni kawaida yao au ni kwa mwaka huu.
 
jaman tukiona NIT wametoa selection tujuzane jaman katika hilo.
 
Kabisa tujuzane maana ata mim nasubilia iyo selection mpaka kichwa kinauma,_ NIT kunani paleeee??
 
Back
Top Bottom