Nissan X-trail

Nissan X-trail

Aisee kweli Baba V umeniweza aisee hata mimi nimecheka sana kuja kuona nilichokiandika aisee ila sikumanisha mkuki bwana sorry sana ila na wewe umezidi umbea khaa wenzio walikuwa hawajagundua sasa umeshanitafutia soo sijui nitaiweka wapi sura yangu kwenye hii thread.

Usijali dada white, tatizo letu sisi walimu hatuangalii maana tu, tunachunguza kila kitu..
 
Last edited by a moderator:
Aisee kweli Baba V umeniweza aisee hata mimi nimecheka sana kuja kuona nilichokiandika aisee ila sikumanisha mkuki bwana sorry sana ila na wewe umezidi umbea khaa wenzio walikuwa hawajagundua sasa umeshanitafutia soo sijui nitaiweka wapi sura yangu kwenye hii thread.

Siyo kwamba walikua hawajagundua, ila wali-take easy!!! kwa sababu ni vitu vya kawaida na ni vidogo pia, hata huyo ''aliyekuweza'' amefanya hivyo kama sehemu ya mawasiliano tu ktk JF.
 
ndugu kama gari hiyo ninakuonya mapema kabla huja bambikwa usije juta baadaye nunua gari yeyote ya Toyota kuliko hiyo Nissan

Siyo kweli Ados,Nissan X-trial ni ngumu sana,kwa long journeys ndo usiseme,durability pia ni ya kiwango. usimtie hofu,
 
Last edited by a moderator:
Mkuu katika wote waliotoa Comment hakuna hata mmoja amewahi kuwa nayo.

Mimi nanayo. Spea sio tatizo hata kidogo hilo la kwanza.

kuhusu filter inatumia filter number 1 sawana gari za Toyota ambazo zipo za 5,000 - 20,000 ni choice yako
ukitaka "genuine" Nisani 15,000 ambayo hakuna utofauti wowote (perfomance wise).

Engine oil 4litres na 3.5litres transmission fluid kama ilivyo kwa Corrola, GX100, na magari mengine ya Toyota.
Air filter 10,000 hadi 12,000 kama za GX100 (ninayo). ikumbukwa filter na transimission hazibadilishwa mara kwa mara.

Fuel consumption: town trip full A/C 8.2km/litres (sijawahi kujaribu kutembelea bila A/c) highway ama safari ndefu inategemea na uendeshaji mimi huwa ni 11.2km/litre with full A/C(sijawahi kuendesha bila A/C ili kulinda usafi wa ndani wa gari)

X Trail pamoja na ukubwa wake ina A/C kali kama GX100/110, Ina Four Wheel Drive, confortable, taaa zake ni kali (kwa wanaopenda kuendesha usiku), stability njiani ni kama GX100/Gx110/115 kwa waliowahi kuziendesha.

Vitu gali kwenye Xtrail ni Shockups, Taa incase zimeibiwa ama kuvunjika, na plugs moja ni 25,000 ingawa utabadilisha mara moja kwa mwaka.

Kwa ujumla sijawahi kuregreat kununua Nassan Extrail (usiombee ununue Nassan pathfinder ama Terrano huko hakuna rangi utaacha ona).

Bei Show rooms ni kati ya 18 - 24 million inategemea na model NT30, NT31 na mwaka uliotengenezwa, Nissani Xtrail zinautofauti sana karibu ain 5 kwenye taa za mbele na nyuma pamoja na Dash board. soma zaidi kwenye makampuni yanaouza magari kuona utofauti.

ukiagiza mwenyewe unaweza kuipata hadi 15m mpaka usajili.

Hapo umeongea ukweli, ila mi namshauri anunue ya kuanzia 2004, zile za zamani zina cooling systerm ambayo sio nzuri hasa ukitumia sehemu km dar ambako kuna foleni ndefu na full AC otherwise ni gari nzuri tu.
 
una hela ya mafuta? maana hapo lazima ujiandae afu huyo ni mwanaowa kumlea maana yake kuuza ni kazi kama ilivokazi kuuza baloon

sio zote ,ninayotumia inakwenda km 13 kwa lita,
 
Nunua asee. Ni nzuri hususan kwa tunaopenda mwendo. Imetulia sana barabarani.
 
Xtrail is durable and comfortable
 
Mmh hyo xtrail cjui ni ya mchina bodi lake ni plastic yan ukpata kiajal kdogo tu ni balaa,tafta gar za japan hyo xtrail nahs majanga kwa bodiyake
 
wadau naomba maelezo kuhusu ubora na matatizo ya nissan x-trail.

Injini lita mbili tu, lakini inakunywa mafuta utafikiri ina babu mwenye kisima cha mafuta Saudi Arabia!

Sasa kama bajeti yako ya mafuta iko finyu, endelea na Corola.
 
Mkuu katika wote waliotoa Comment hakuna hata mmoja amewahi kuwa nayo.

Mimi nanayo. Spea sio tatizo hata kidogo hilo la kwanza.

kuhusu filter inatumia filter number 1 sawana gari za Toyota ambazo zipo za 5,000 - 20,000 ni choice yako
ukitaka "genuine" Nisani 15,000 ambayo hakuna utofauti wowote (perfomance wise).

Engine oil 4litres na 3.5litres transmission fluid kama ilivyo kwa Corrola, GX100, na magari mengine ya Toyota.
Air filter 10,000 hadi 12,000 kama za GX100 (ninayo). ikumbukwa filter na transimission hazibadilishwa mara kwa mara.

Fuel consumption: town trip full A/C 8.2km/litres (sijawahi kujaribu kutembelea bila A/c) highway ama safari ndefu inategemea na uendeshaji mimi huwa ni 11.2km/litre with full A/C(sijawahi kuendesha bila A/C ili kulinda usafi wa ndani wa gari)

X Trail pamoja na ukubwa wake ina A/C kali kama GX100/110, Ina Four Wheel Drive, confortable, taaa zake ni kali (kwa wanaopenda kuendesha usiku), stability njiani ni kama GX100/Gx110/115 kwa waliowahi kuziendesha.

Vitu gali kwenye Xtrail ni Shockups, Taa incase zimeibiwa ama kuvunjika, na plugs moja ni 25,000 ingawa utabadilisha mara moja kwa mwaka.

Kwa ujumla sijawahi kuregreat kununua Nassan Extrail (usiombee ununue Nassan pathfinder ama Terrano huko hakuna rangi utaacha ona).

Bei Show rooms ni kati ya 18 - 24 million inategemea na model NT30, NT31 na mwaka uliotengenezwa, Nissani Xtrail zinautofauti sana karibu ain 5 kwenye taa za mbele na nyuma pamoja na Dash board. soma zaidi kwenye makampuni yanaouza magari kuona utofauti.

ukiagiza mwenyewe unaweza kuipata hadi 15m mpaka usajili.

ASantee kwa maelezo mazuri. Mimi pia Nina xtrail sijutii kua nayo vile vile. Ila nimepata ajari na hii Gari imevunja Taa zote na kioo cha mbele, kama unafahamu naweza pata kwa bei gani na wapi?
 
Hapo umeongea ukweli, ila mi namshauri anunue ya kuanzia 2004, zile za zamani zina cooling systerm ambayo sio nzuri hasa ukitumia sehemu km dar ambako kuna foleni ndefu na full AC otherwise ni gari nzuri tu.

Naomba tu kuuliza,kuna njia nyingine ya kupima fuel consumption? Zaidi ya kuhesabu tu kwenye mileage against fuel in tank?
 
ASantee kwa maelezo mazuri. Mimi pia Nina xtrail sijutii kua nayo vile vile. Ila nimepata ajari na hii Gari imevunja Taa zote na kioo cha mbele, kama unafahamu naweza pata kwa bei gani na wapi?[/QUOTE Pole kwa majanga mkuu. Kama upo Dar nenda sinza mapambano uelekeo wa kwenda Double vie hotel karibu kabisa na Princess hall. uliza garage ya wachina wanauza vioo. utapata pamoja na taa na kila kitu kwa bei nafuu sana kuliko hata kariakoo na Ilala. Vioo ni vipya ila vinginevyo nni used
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom