rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,327
- 5,594
Wakuu,gari yangu ni aina ya Nissan X-Trail 4wd Automatic Transmission. Baada yakufanya service, kumwaga Gear box Oil, gari limekuwa na shida sana katikakubadilisha gia hasa kutoka number 2 kwenda gera number tatu. Gear nyinginezinabadilika kama kawaida. Kwenye Oil deep stick imeandikwa ( USE ONLY NISSANIMATIC J). Naomba kwa mwenye kujua na uzoefu wakutosha anijulishe ni ipi inawezakufaa kama replacement. Hii waliotaka niweke hapa bongo hakuna nimejaribu sehemu nyingi bila mafanikio.