Sasa mbona hujaweka hata mawasiliano! maana siyo wateja wote wanaonunua vitu humu ni members kamili wa jf! wengine wanaingia humu kama wageni tu.
Pia hukuwa na sababu ya kufuta hizo namba za gari maana kuuza na kununua gari ni jambo la kawaida tu. Walau ungefuta hizo namba tu na kuacha huo usajili kama ni wa A, B, C, nk. ujulikane kwa wateja badala ya kuwapa tena mzigo wa kuuliza maswali.