Acha kutudharau wakinga wewe,siku hizi wakinga na wachaga ndo wajanja kila siku tunakwea mwewe zetu china!hii ukitaka kuiuza pelekea wakinga wenye hela nyingi afu hawana exposure na magari mjini nani atanunua gari kama ilo... asa ndo gari gani ilo
Ushamba mzigo,Acha kutudharau wakinga wewe,siku hizi wakinga na wachaga ndo wajanja kila siku tunakwea mwewe zetu china!
Siyo mimi mwenye nauza hii gari,ila mimi nimekukosoa tu hapo ulipoonesha wakinga ndo washamba!Ushamba mzigo,
Kwenda China ndo ujanja?
Anyway gar iko ns km ngapi ss?
Mbona uneficha namba gari ya wizi nn?
Gari iko na km ngapi ss?Gari ipo vzr Haina tatzo lolote...injini haijaguswa,,,haijarudiwa rang...njoo na fundi wako kagua gar lipia..
Ipo dsm mbagala.
0683775566View attachment 972375View attachment 972379