Nissan serena vs toyota liteace noah

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
11,504
Reaction score
13,711
Wakuu eeh,naombeni mnijuze,hivi hizi NISSAN SERENA spare parts zake zinaingiliana na za Toyota Liteace Noah manake nazipenda hzi Serena ila sijui upatikanaji wake wa spea zake ukoje na hata bei zake kwa kuagizia ipo chini kuliko NOAH.Wenye ufahamu naomba mchangi wenu tafadhali​
 
Anayo bro wangu nissan serena,,ni nzuri kwa kweli na ni ngumu comparing na noah zingine.ishawahi kupata ajali kubiringita lakini but bodi haikuumia comparing kama ingekuwa noah.
Tatizo ni spare,last week alimwaga oil kwa laki 2,miguu iko tenge coz spare hazipo mpaka waagizie.
 
Nissan Serena ni imara zaidi kuliko Noah. Spea zake zinapatikana sana. Wabongo wengi wanogopa Nissani kwasababu spea zake ni bei ya juu kidogo. Nissani hawatengenezi spea feki. Lakini Toyota wanafeki na orijino. Sisi wabongo tunaoenda mteremko daima. Sasa kazi kwako kununua kipuri feki na kubadili kila baada ya miezi mi3 kwa bei ndogo. Na kununua kipuri orijino kikadumu zaidi ya mwaka kipi bora?




Serena nauza milioni 11





Noah milioni 13


Majid Mnana 0784 604971
 

dah,poa mkuu,oil tu laki 2?,utafikiri scania?,why inakuwa hv mkuu,kwani injini yake ni kubwa mno?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…