Mjasiriamali M
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 142
- 69
Habari za leo wakuu, jzna niliandika kuhusu kuhitaji gari ya bei nafuu. kuna wanajamii mbali mbali wamenitafuta kuhusiana na ombi langu. Naomba msaada wenu, kuhusu hii gari aina ya Nissan Primera, ina cc 1800. Itafaa kwa mizunguko ya mjini, vipi kuhusu ulaji mafuta na upatikanaji wa spairs? Na Mengineyo, natanguliza shukrani.