Nissan Patrol (chura) inahitaji

Glenn

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Posts
70,484
Reaction score
167,330
Wakuu habari za majukumu;
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa Nissani Patrol (chura) toleo la kuazia 1995 inahitajika, kwa yeyote anayeuza amesikia inauzwa mahali naomba aje pm au unaweza kutuma picha hapa.

Ninatanguliza shukrani nyingi
 
Muundo huu
 
Mkuu kama una taarifa niunganishe tu, group nyingi za kibongo huwa hazifuati lengo ni stori tu nami sina muda wa kufuatilia posts zinazojaza notifications kwa simu
Ok ila humo ni biashara tuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…