Naomba kujuzwa matatizo ya Nissan Note na Honda Fit

Nunua gari mkuuu acha uwoga ukijua matatizo ? Kesho utakuja tena na uzi mwingine nissan teana na subaru naomba matatizo mnachosha sana , HAKUNA Gari inayokuwa haina changamoto, kikubwa ukinjnua gari tenga muda soma manual book ya gari ... Na fata yale maagizo mtengenezaji kaelekeza itakusaidia gari kudumu
 
Asante sana mkuu...
Mku wapi wanafanya service za Nissan ambao ni specialist sana na bei zao hazijachangamka?

Maana Nina Nissan Note flan hv inasumbua mis sana, ukiishusha Kwa mashine baada ya muda Tu inapanda tena yenyewe, hakina nguvu kabisa, kwenye mlima kinapanda Kwa shida sana na spidi ikizidi 60 basi Unasikia Engine inabadili sauti Kama inataka kupasuka hivi

Hapo nishabadiri Sensor, Fuel Filter sijui zote zile nimebadili lkn Ngoma ngumu bado.
 
Back
Top Bottom