Nissan murano qr25de cc 2500 fuel consumption problem

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,084
Reaction score
1,330
Jamani nina nissan murano qr25de cc2500 2006 inakula sana wese iliwasha check engine shida ikawa airflow meter nikabadili ila tatizo bado liko palepale.
Ukiwasha gari ina nguvu vizuri tu haina miss yoyote inachanganya haraka shida ni wese tu ninapata 2.5 km/l mpaka 3.9km/l
 

Attachments

  • 20260724_104151.jpg
    1.1 MB · Views: 3
Goddam lita 3.9 km? Man oark hiyo gari bring mafundi wa umeme wacheki. Kuna deeper issue than that
 
Duuh alooo hii imezidi kubugia wese
 
Kama upo DAR nenda huyu dogo anaitwa MOTECK-I
Kwa mafundi wa hapa TANZANIA huyu jamaa anajua Sana ishu za magari
 
Namfatilia kwa ukaribu sana pale mjini Instagram hatakama sina gari,,napata madini
Mkuu kama upo kwenye ndoto za kumiliki gari IPO siku MUNGU atajaalia Tu utapata .
Huyu jamaa anajua Sana magari Kwa undani Sana sidhani kama kuna fundi hapa DAR anaweza kumfikia
 
Mkuu kama upo kwenye ndoto za kumiliki gari IPO siku MUNGU atajaalia Tu utapata .
Huyu jamaa anajua Sana magari Kwa undani Sana sidhani kama kuna fundi hapa DAR anaweza kumfikia
Hakika anayaelewa na kuyaelezea kwa undani na vizuri sana,, namimi na hobby zangu za kuchek review za magari naenjoy sana kumsikiliza.inshallah namimi siku nikijaaliwa nitashare experience ya ndinga hapa kama mnavofanya waungwana,.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…