Picha tafadhaliHabari ya ushindi nguvu moja
Any way niende kwenye mada kwa sasa naona hizi gari ndogo Aina ya nissan juke zinakuja kwa Kasi zaidi apo badae soko la ist hapa bongo litakufa
Ni ipi Siri ya nissan juke wakuu
Zanzibar na Juke ni sawa huku bongolala na ISTHabari ya ushindi nguvu moja
Any way niende kwenye mada kwa sasa naona hizi gari ndogo Aina ya nissan juke zinakuja kwa Kasi zaidi apo badae soko la ist hapa bongo litakufa
Ni ipi Siri ya nissan juke wakuu
😃😃Mtoa mada inabidi usaidiwe mawazo ili siku nyingine usipate aibu ndogondogo... IST ni habari nyingine yaani kuifananisha juke na IST kuikosea heshima kubwa Sana.
Sina haja ya kuanza kuingia Kwa undani zaidi juu ya ubora wa IST.
IST ni kama panadol kwenye matumizi ya kilasiku Kwa watanzania