Mwaka 2010, Nissan walitengeneza Nissan Juke 1st generation iliokuwa designed na Kenji Kawasaki na mwenzie, wakaja na hii design:
View attachment 2998241
Ni gari nzuri, nje na ndani, comfortability, efficiency na practicability.
Sasa kuanzia 2019 kuna madesigner watatu wakaambiwa waunde 2nd generation ya hii Nissan Juke. Wakaja na hii:
View attachment 2998247
View attachment 2998249
Ina muonekano Bora zaidi nje na ndani, ina nafasi ingawa ni ndogo kidogo kwa Dualis.
View attachment 2998248
Engine:
Utachagua cc 1000 i3 turbo au cc 1600 i4 ya hybrid.
View attachment 2998251
Bei:
Mjapan anataka kuanzia CIF ya $9000 na TRA wanataka kuanzia Mil 17 ushuru.