mjibu Zanzibar Spices nasie twa subiri jua gari lilipo na reg number, yr of manufacture, imeingia nchini lini, ishapita mikono mingapi, isha pata ajali mara ngapi, je inadaiwa chochote na mamlaka yoyote, je wewe ni midle man au owner?
Gari ipo Dodoma,inatumia diesel,manual,1999,17seats,16passengers,multicolour,haina shida yoyote,Mimi ni mmiliki,kwa maelezo zaidi namba nimeshatoa hapo kwa anayehitaji gari,narudia tena haina shida yoyote inafanya kazi daladala INA uwezo wa kwenda safari ya umbali wowote na bei haibadiliki ng'oo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.