Nissan datsun pickcup 1200

mjomba 1

Senior Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
104
Reaction score
31
Ndugu wana JF naomba kama kuna anayeweza kunifahamisha wapi naweza kupata nissan datsun 1200
pickup nataka kununua.
 

Attachments

  • h138653778mwffy504-img600x450-1264422652sd8teq46192.jpg
    34.6 KB · Views: 181
Hapa Tanzania ni ngumu kuzipata ila Nyayo ziko nyingi. Tafuta mtu ya huko ikununulie.
 
Ndugu wana JF naomba kama kuna anayeweza kunifahamisha wapi naweza kupata nissan datsun 1200
pickup nataka kununua.

Hizo gari zipo huku South Africa zinauzwa bei rahisi sana kama milioni na nusu za kibongo
 
kuna moja ilikuwa inauzwa magomeni sijui bado ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…