Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,188
- 7,490
Wakuu, Nissan civilian bus inauzwa. gari iko kwenye hali nzuri na iko barabarani. Bei ni Tsh.17, mazungumzo yapo, kwa mawasiliano piga 0657457971 au 0685247148 Ili uweze kuiona gari.
hiyo ni ngumu bosi wangu.Je? waweza kubali malipo kidogo kidogo?
Yaani kila mwezi unapata fungu kadhaa?
Shukran
mkuu kuna kipindi niliuza coaster box, pia nilitangaza humu, ila pia bei ya cooaster kubwa sana. Civilian zina shida kwenye milima mikali ila tambarare kama dar Hazina shida.Sijui kwanini magari aina ya Nissani na Mitsubish watu wanayaogopa sana, Rosa na Civilian du, ingekua Coaster wala usingetangaza humu; fasta buyers wangekuja wenyewe.
Poa mkuu, nimekuelewa; nilidhaniaga may be NIssani na Mitsubishi hazina mafundi wa kuzitengenezamkuu kuna kipindi niliuza coaster box, pia nilitangaza humu, ila pia bei ya cooaster kubwa sana. Civilian zina shida kwenye milima mikali ila tambarare kama dar Hazina shida.
hapana mkuu, gari zote za kawaida zinatengenezwa na mafundi hawa hawa wa kawaida. Ishu ni spea kwa baadhi ya magari. Nissan civilian na costa, spea zake ziko za kutosha. Gari ambazo spea zinasumbua, ni zile ambazo hazipatikani kwa wingi tz, ila civilian spea bwerereeee! ila uwe na helaPoa mkuu, nimekuelewa; nilidhaniaga may be NIssani na Mitsubishi hazina mafundi wa kuzitengeneza
Dalalii kabadiri being baada ya kunyimwa 10% yake!kutokana na mfumuko wa bei, bei ya gari imepanda kidogo, sasa ni mil.18
Huwezi kuwa seriouskutokana na mfumuko wa bei, bei ya gari imepanda kidogo, sasa ni mil.18