Human resourceNimemaliza degree yangu ya kwanza mwaka huu mwanzoni ktk chuo kikuu huria tanzania na nilisoma bachelor of social work na nilifaulu kwa GPA ya 4.3, sasa ninaomba ushauri nisome faculty ipi kwenye masters?? kati ya sociology na human resource
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Kama pioneer katika sector ya elimu nakushauri ukasomee human resources&managementNimemaliza degree yangu ya kwanza mwaka huu mwanzoni ktk chuo kikuu huria tanzania na nilisoma bachelor of social work na nilifaulu kwa GPA ya 4.3, sasa ninaomba ushauri nisome faculty ipi kwenye masters?? kati ya sociology na human resource
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatusomi faculty wala course bali tunasoma program