Nisome Nini Ili Nisisumbuke Kupata Ajira?

Nisome Nini Ili Nisisumbuke Kupata Ajira?

ni kwel ajira ni ngum sn hvo ss hv ajira ni nn unachokijua(competence) na syo performance yko nzur(gpa)
mm nashauri kuwa karibu na watu,ongea vzr na watu,fanya connection nzur ili unapomaliza masomo upate channel ya kuwa entrepreneur while waiting for employment

Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kwanza kuandika ndipo uje kutoa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madaktari na Mainjinia nao washajaa, kwa sasa wapo kibaoo mtaani ama private sector.
Kozi pekee ambayo bdo ina nafasi za kumwaga ni Uuguzi tuu ambao wengi wanaukimbia.
 
Mkuu, nimeipenda hii mada. Kweli, kwa mfano kuna WAJANJA wana hitaji kubwa la kujua Kiswahili. Huu ungekuwa mtaji wetu katika uchakarikaji hasa tukizingatia tunu ya amani na mvuto wa rasilimali tulizonazo nchini TZ. Bahati mbaya waswahili (WaTZ) tuliowengi hatujui lugha yetu kiswahili kwa ufasaha kiasi cha kuzidiwa na Kenya ambao bahati yao walio wengi English inapanda na Rwanda ambao bahati yao French wako vzr, hata hivyo wenzetu EA wanaongeza umahiri wa kutumia kiswahili. Ili kumfundisha mgeni lugha ya Kiswahili inabidi ujue lugha yake kwa ajili ya kuwasiliana angalau kuanzia English au French, hapo tunaanza kujiengua ktk hili soko...nawapongeza vijana Arusha/K'njaro wanaowaongoza Watalii, ila kwa maeneo mengine watu wa hivyo wanaitwa WAPAMBE tena na kashfa kuwa Wapambe nuksi. Tunaimani na viongozi wa Kidini na Kijamii kuwa wamesha fanya yanayowapasa, ni vema pia kwa viongozi wa Kisiasa wanaoaminika kwa jamii kutumia karama walizojaaliwa na M/Mungu kwa kupata wafuasi kuwajibika kwa hilo kwani WaTZ walio wengi hawatambui fursa zinazowazunguka. Hapo ndipo kila mmoja atatambua ni Elimu gani anayotakiwa kusoma au ujuzi gani anatakiwa kujifunza.
Ni maoni yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom