Nisome CPA au niache?

Kama unataka kuwa mhasibu soma CPA japo usisahau hili, vyeti sio tiketi ya kufanikiwa maisha. Hapo umepata elimu ya shule, huku mtaani napo kuna elimu zake na hapo ndipo utamkuta CPA mwenye muhuri anategemea connection za kazi kutoka kwa certificate au diploma, analetewa kazi analipwa kidogo kuliko asiye na muhuri.
 
Huyo mwenye muhuli anaelimu zaid ya CPA mkuu? tafadhari naomba nifahamishe m sielewi chochote kwa kweli
 
Huyo mwenye muhuli anaelimu zaid ya CPA mkuu? tafadhari naomba nifahamishe m sielewi chochote kwa kweli
Kuna CPA na CPA-PP. Unapopata CPA kama unataka kuwa mkaguzi inabidi upambane upate licence na muhuri. Kuna taratibu zake. Ukishaanza CPA ukiuliza utazijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…