Fanya mazoezi ya viungo mkuu
Kimbia, nenda gym, cheza mpira.
Ukifanya hivyo mwili utakua fresh na usingizi utapata, hiyo shida iliwahi kunikuta nikatatua kwa mazoezi maana kila day nilikua nataka ku-do nikagundua nikiwa na maisha ya style hiyo ntakua natengeneza tatizo maana sio siku zote mwenzangu atakuepo