Nishaurini: Nimegundua pesa ninazompa anahonga mwanaume mwingine

Hata Biblia imenena,
"Watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa"
We unajidai bingwa wa kupenda maisha haya unahonga M8 bila mahesabu then unakuja kutaka ushauri....any way maisha ni kujifunza tafuta dem mwingine umhonge M10 akukimbie ndo utajua kweli mapenzi sio hela tuu.
Nadhani kuna vitu vya kuomba ushauri ila ishu za mapenzi kila mtu apambane na uzoefu wake
 
Mkuu tulia hajakata mikono na akili bado unazo na ndiyo zilizokuwezesha ukapata hadi hiyo pesa.cha kufanya tuliza akili fanya mengine usihangaike nae huyo
 
miezi minne tu unanunua hadi kiwanja!!! Njoo kwangu mwayaa... Mie mwaminifu ila sio mzuri kiviiile.... Nna lipsi nzuri tu
 
Hata Biblia imenena,
"Watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa"
We unajidai bingwa wa kupenda maisha haya unahonga M8 bila mahesabu then unakuja kutaka ushauri....any way maisha ni kujifunza tafuta dem mwingine umhonge M10 akukimbie ndo utajua kweli mapenzi sio hela tuu.
Nadhani kuna vitu vya kuomba ushauri ila ishu za mapenzi kila mtu apambane na uzoefu wake
Mbona unasema kwa maisha haya??? Au unazani maisha yangu na yako ni sawa??? Acha kukariri
 
Mimi ni kijana wa kiume nna miaka 27, kuna msichana nmekutana nae miez minne iliopita, kiukweli ni mzuri sana pia ni mwanachuo hapa dar, kiukwel nmemuhudia sana ndani ya miezi hiyo minne

Nmemnunulia hadi kiwanja chanika, simu nzuri, pesa za matumizi nampa nyingi tuu nmemwambia boom lake awasaidie wazazi nyumban kwani aliniambia wako vibaya sana( maskini wa kutupwa)

Sasa juzi nmegundua kumbe pesa nnazompa ana kamwanamme kake nae anakahonga anasoma nako chuo

Gharama nlizomgharamia nimecalculate ni zaidi ya M8, nkimuulza analeta kiburi anadai kama vip tuachane!!

Je, nifanyaje?? Juzi washkaj zangu wamenishauri tuwateke wote tukawatese nnje ya mji ikiwezekana tumuue huyo jamaa

Mnanishauri nini???

Inauma sana
Miez 4 umehudumia 8m za zimbabwe au,hii story mpe bashite atakuelewa
 
Mwanamke hasomeshwi,,,,,haha
Kwani ndugu zako wameisha,

Chakufanya:
+chukua hati ya kiwanja kijanja kama ulimpa
+katisha gafla matumizi au gharama unazompatia
Utaleta mrejesho hapa
 
Yaani ndani ya miezi mi4 umehonga m8? kwangu naona hii chai.

Kwa mtu mwenye uwezo wa kuhonga m8 hawezi kulalamika hivi...labda kama hauzipati kwa jasho lako unamwibia baba.

Kwa mwezi unahonga 2m kwa siku elfu 67. ??? Hujiulizi kwanini Heslb inawahonga 8500 kwa siku unafikiri board haina akili ???
Kabisa chai haina sukari mkuu
 
Mimi ni kijana wa kiume nna miaka 27, kuna msichana nmekutana nae miez minne iliopita, kiukweli ni mzuri sana pia ni mwanachuo hapa dar, kiukwel nmemuhudia sana ndani ya miezi hiyo minne

Nmemnunulia hadi kiwanja chanika, simu nzuri, pesa za matumizi nampa nyingi tuu nmemwambia boom lake awasaidie wazazi nyumban kwani aliniambia wako vibaya sana( maskini wa kutupwa)

Sasa juzi nmegundua kumbe pesa nnazompa ana kamwanamme kake nae anakahonga anasoma nako chuo

Gharama nlizomgharamia nimecalculate ni zaidi ya M8, nkimuulza analeta kiburi anadai kama vip tuachane!!

Je, nifanyaje?? Juzi washkaj zangu wamenishauri tuwateke wote tukawatese nnje ya mji ikiwezekana tumuue huyo jamaa

Mnanishauri nini???

Inauma sana

Ole wako tuokote maiti kwenye kiroba fukweni! Utatueleza kinagaubaga
 
Back
Top Bottom