Nishaurini: Nimegundua pesa ninazompa anahonga mwanaume mwingine

We ni mngese kabisa,ukaue mtu kwa umaku wako mwenyewe,mwanamke ameshakusaidia kukuambia HAKUTAKI,si uachanenae.
Halafu uandishi wako tu unaonyesha we mwenyewe unaliwa bado dogo sana,utaenda kuchezea NDUNGA segerea,maku we.
Ok sawa hata matusi sio mbaya, ukikua nawewe utaona dunia inaendaje
 
Anaenda naye taratibu... tena na wasiwasi huyu dada kama ni kweli atakuwa jirani yangu maana ndiyo wengi wanaakili ya kuanza na viwanja.
Hahahaha jirani zako ni kiboko anaona hatua 10 mbele jamaa aendelee kutafuta mbinu za utekaji kumbe anapoteza
 
Kawaida tuu, ni moja ya matumizi. . Sku ukishka hela nyingi utaelewa namaanisha nini

Tukane upigwe ban
Hahaaa nikishika hela nyingi?
Kwani unafikiri wanaocomment humu hatujashika hela nyingi?
Tumeshika ila hatufanyii ujinga!

Btw umekosea kuni quote,mie sijaongelea mambo ya kutukana chek vzr
 
Back
Top Bottom