Ndiyo ilivyo ukishindwa kujituma lazima utatumwa tu, sasa subiri huyo anayekulazimisha akufanye mtumwa wake maana hakuna namnanimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nikapata div3 ya 24,sinafanikiwa kuchaguliwa form5 na nimebaki njia panda juu ya hatima yangu,,nataka nirudie masomo nliyopata D na F mwakani kwani nna uwezo wa kufanya vizuri,,,lakini tatizo nalazimishwa niende Veta,,je kupi bora??
Ndiyo ilivyo ukishindwa kujituma lazima utatumwa tu, sasa subiri huyo anayekulazimisha akufanye mtumwa wake maana hakuna namna
Kwa nini anakubali kulazimishwa, ina maana tayari ameanza kutumwaJamani huu ni ushauri au masimango??
Kwa nini anakubali kulazimishwa, ina maana tayari ameanza kutumwa
Wewe ndiyo uache kunishauri mimi badala yake umshauri huyo dogo aliyetuomba ushauri, mimi nimetoa ushauri wangu tayariWewe mshauri mdogo wako hapo anafanyaje sasa
Me mwenyewe naona apa n kusimangana ss kama uwez kumshauli mtu si ukae kimya tuJamani huu ni ushauri au masimango??
Wewe ndiyo uache kunishauri mimi badala yake umshauri huyo dogo aliyetuomba ushauri, mimi nimetoa ushauri wangu tayari
Mkwepa kodiWewe ndiyo uache kunishauri mimi badala yake umshauri huyo dogo aliyetuomba ushauri, mimi nimetoa ushauri wangu tayari