Wachache hurudi kushukuru, big upOkay thanks kwa wote mlioacha shughuli zenu mka reply for advice. May allah bless you all
Since nmesoma sms zenu i admit nime elewa and nime learn vitu vingi kutoka kwenu.
Thanks and have a good day to everyone.
Jamani tumshauri mtoto wa watu!
Heshima yako mkuun
Mie nakushauri njoo P.M ili nikupe mbinu za ku deal na hilo swala. Utakuja kunishukuru baadae na hutojutia mda wako.
Mkuu hili ndio tatizo linalomsumbua huyu kijana.Pengine ngazi yako ya kielimu kwa namna moja ama nyingine inasababisha hilo kutokea. Kwa mfano; namna ulikuwa ukiwasiliana nao kabla ya kufikia ngazi ya juu ya kielimu wanaona ni tofauti wakilinganisha na baada ya kuendelea kielimu, lugha na namna unavyoongea nao na kadhalika
Ndg.Habari
Kama mnavyojua wasichana tunakuaga na marafiki wengi kipindi cha shule na sehemu nyingine mbali mbali. Kipindi niko o-level nlikua na marafiki ambao close kama wawili hivi sasa baada ya kumaliza form four wenzangu hawakuendelea na form six mmoja alitaka kuanza chuo na mwingine alikataa tu mwenyewe kuendelea na six kwa hiyo akaenda mwalimu Nyerere pale kuanza chuo diploma.
Sasa tangu niko A-level yani tulikua tunaongea vizuri mara kwa mara yani sanaaa sasa baada ya mimi kufika chuo (degree) mazoea kama yale ya zamani yamekata kabisa kila mtu kawa na mambo yake. Na huyo mmoja alikua Certificate pale TIA yaani ukimtext kukujibu mpaka kesho kutwa, mara atukane tukane katika maongezi.
Sasa mimi nataka nifanye maamuzi ya ku cut off mawasiliano na hawa marafiki zangu kwasababu yani mimi ndio kushoboka kila siku sio kama siwezi kuishi hila wao ..hapanaa yani ndo ile mazoea nmewazoea na sijaamini kama marafiki zako wa karibu wanaweza waka badilika.As thread said nishaurini nlikua naomba mnishauri.
we bikira au tayari?Habari

Yaani kitendo cha mimi mpaka niwatafute ndo kinachonishangaza yani raha ya urafiki mtafutane sio mie ndo kila siku nawatafuta
ndio muniraaaaa achana nao acha shobo ikiwezekana futa namba zao dili na ur things trust meeee co watu sahihi kwako ukiona hivyoLakini wanasema ukiwa na marafiki wale wale kila siku hautafanikiwa. Is it true?
words men tupo hivi ila gals majungu na kusemana kikudaaaDuuuh...wanawake bhna mnamambo kwa kweli,Mimi mbna ni rafiki na ndugu zangu tunaweza tukakaa ata mwezi no call na msg...na sku mmoja akikwama company ipo palepale...yaani full kusaidiana full kupeana mastory na michongo.
Ushapata kazi? Au shemej anakuhudumia? Maana hizi hasira za kuomba kukata mawasiliano inaonekana una internal conflicts kwahyo inaweza kukufanya kuwa na hasira za karibu....cha kufanya IFUTE NAMBA YAKE tafuta kitabu au series ukitaka kuwakumbuka..unachek movie au unasoma kitabu..ila kama UNAKAZI BASI ONGEZA URAFIKI NA WATU WENGINE WA KAZIN .....UONGEZE KAMPANI..Habari
Kama mnavyojua wasichana tunakuaga na marafiki wengi kipindi cha shule na sehemu nyingine mbali mbali. Kipindi niko o-level nlikua na marafiki ambao close kama wawili hivi sasa baada ya kumaliza form four wenzangu hawakuendelea na form six mmoja alitaka kuanza chuo na mwingine alikataa tu mwenyewe kuendelea na six kwa hiyo akaenda mwalimu Nyerere pale kuanza chuo diploma.
Sasa tangu niko A-level yani tulikua tunaongea vizuri mara kwa mara yani sanaaa sasa baada ya mimi kufika chuo (degree) mazoea kama yale ya zamani yamekata kabisa kila mtu kawa na mambo yake. Na huyo mmoja alikua Certificate pale TIA yaani ukimtext kukujibu mpaka kesho kutwa, mara atukane tukane katika maongezi
Sasa mimi nataka nifanye maamuzi ya ku cut off mawasiliano na hawa marafiki zangu kwasababu yani mimi ndio kushoboka kila siku sio kama siwezi kuishi hila wao ..hapanaa yani ndo ile mazoea nmewazoea na sijaamini kama marafiki zako wa karibu wanaweza waka badilika.As thread said nishaurini nlikua naomba mnishauri.
Usikate, usikate usikate mawasiliano.Habari

Wivu huuNdio mara nyingi walikua wananitania like utazeeka shuleni shauri ako
Mmmmh mbona laki mbiliNakwambia kitu kimoja. Kwenye urafiki kuna kiongozi ambaye wengine wanamfuata. Yani wewe ulikuwa follower. Dawa ni ubadilike ili watu waku follow. Na ili waku follow lazima uache kuwa wa kawaida. Unaachaje kuwa wa kawaida hilo ni somo la mwezi mzima na huwa nachaji laki mbili kufundisha. Ila kwa leonakwambia vitu viwili tuu. Cha kwanza kuwa na malengo makuu kuhusu afya, uchumi, elimu na uhusiano. Cha pili anza kusoma vitabu kuhusu maeneo mbali mbali kama saikolojia na personal development. Walau kitabu kimoja kwa wiki. Tumia muda wa asubuhi sana unapoamka au jioni kabla ya kulala. Ikikusaidia usikose kuja hapa kunishukuru