Nishaurini kuhusu huyu dada

Wewe umegeuzwa zombie.....wewe sio first choice
lakini unawekwa just in case first choice akizingua arudi kwako

mkuu uzoefu wangu msichana akiingia kwenye hati miliki yangu huwa hawezi kutoka labda nimwache mimi, mana huwa anawasahau mabwana zake wote waliopita.

Aijichanga tu choices zake zitakuwa;

1. Mzee wa masauti
2. Mzee wa masauti
3. Mzee wa masauti

yaan kama kama Lowassa vile
 
Sredi klozdi

Hili ndilo jibu


 

kama vp mchape nao afu fanya kama unampotezea ivi. Akiendelea kusumbua nawe endelea nae , akikuchunia nipe namba yake mkuu!!
 

hahahah....eti single click.....yaani mi mwenyewe napendaje soni - mombo......kilometer kadhaa natembea na neutral...had gari nazima kabisa sitak mlio wa engine
 
Cha msingi apo wewe ushaplay part yako kama mwanaume yaani kuwa initiator..
Uyo anataka ww uwe tanki la akiba.. n ww mfanye tanki la akiba pia..
Akizinguliwa na jamaa wake we mmege wakirudiana we endelea n mishe zako..
Nshamega wengi wa hivyo
 
Anakupenda, sasa Kuwa mtulivu, mfanye awe rafiki mengine yatafuata...
 

hapa tatizo ni age.
 
Achana naye huyo wa kazi gan? Kwanza mambo ya kuoa hayana dili halafu huyo hakupendi ataishia kukuomba pesa Mara ooh za umeme,Mara nguo,Mara Simu au nikopeshe usipompa atakwambia basi nafuta namba yako
 

Yale yale et nakumbushia ombi langu.
 
Kusoma hujui hata kuangalia picha huwezi?????

kama umeusoma vizuri uzi, binafsi nilishampotezea ila niyeye mwenyewe akarudisha mawasiliano nami tena baada ya almost mwaka kupita, tena hata urafiki wa kawaida namimi alikuwa hataki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…