mrsleo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 2,588 Reaction score 3,886 Jul 2, 2014 #21 samaika said: ooh thanx mam, ila mpk kufka ha2a ya kupekenyua cm yake ni bda ya kuona changes, ndipo nikaamua kufanya uchunguz wa karbu ambao ndo huo Click to expand... umegundua nini baada ya kuichunguza?
samaika said: ooh thanx mam, ila mpk kufka ha2a ya kupekenyua cm yake ni bda ya kuona changes, ndipo nikaamua kufanya uchunguz wa karbu ambao ndo huo Click to expand... umegundua nini baada ya kuichunguza?
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Jul 2, 2014 #22 Mbona nyuchi mnakaguana tatizo lipo wapi kwenye kukagua simu???
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Jul 2, 2014 #23 Wenzio wanavaliana hadi g string nini kukaguana simu? benteke Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,275 Reaction score 108,279 Jul 2, 2014 #24 samaika said: hivi ni sahih kushka simu ya mpenz wako na kukagua? Click to expand... Redio Kolu itakuwa jibu muafaka kwa watu wenye gubu kama ninyi
samaika said: hivi ni sahih kushka simu ya mpenz wako na kukagua? Click to expand... Redio Kolu itakuwa jibu muafaka kwa watu wenye gubu kama ninyi
pure crazy Senior Member Joined Nov 28, 2013 Posts 190 Reaction score 37 Jul 3, 2014 #25 ukague nn si kila mtu anasimu yake alafu eti mshahara kipindi nasoma hadi asubuh ulikuwa ubayako wewe mshahara mfyuuuuuuuuu!!!!!!
ukague nn si kila mtu anasimu yake alafu eti mshahara kipindi nasoma hadi asubuh ulikuwa ubayako wewe mshahara mfyuuuuuuuuu!!!!!!