Nishauri wala usisite

raster kipara

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
218
Reaction score
43
Hii ni baada ya kutafuta sababu nazo zikawa nyingi.
Nianze kwa kusema wakubwa habari' wadg nao pia hamjambo!
Nitaeleza kwa kifupi sn
Nnampenzi /MCHUMBA/kila anaponiona nikipita huwa ananishangaza kwa kuficha uso ama kuondoka mahala alipo!
Umri wngu 24 yeye 20 yapata mienzi 8 tangu tuwe naye.
Sasa najiuliza nini sababu?

Naombeni ushauri wa kiustarabu bila ya kejeli.
 
ulishawahi kumvua chu.pi? kama haujawahi jitahidi umvue.
 
atakua ana damu ya kina priyanka chopra ama sharuhkhan si unajua mambo ya kuchikuchi
 
aiseee jeiefu kuna sredi za ajabu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…