Mtakatifu Nabii Suriya nakutakia kila la kheri kwenye wito wako.
Baada ya hayo naomba unieleze nini tofauti ya kipaji, karama na kipawa. Asante
Mbona wewe vyote unavyo...? [emoji108][emoji108]Mbn sijaelewa unamaanisha na umri huu niwe na shape na chura au tabia iwe nzur sijakuelewaa
[emoji120]Shukrani kwa hekima yako.